Kwenye video hii msanii Two pac alitabiri huu ugonjwa?

pombe kali

JF-Expert Member
Jun 28, 2014
221
431
hii movie inaitwa juice nadhani ni zaidi ya miaka ishirini tangu itoke lakini msikilize marehemu Tupac anachosema kwa kuitaja nchi ya China na kusema kwamba dunia nzima itaugua korona
 
Hata hujajishughulisha kuangalia original movie.
Kizazi cha 2000 mna tabu sana.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Hata mwinamila alitabiri


"""Mwisho gwa dunia ninashaka kiama shegela nabhona mungu otupa maradhi bhuganga kuduhu"""
 
Sisi Kinjikitile aliamua kuwapa maji ya baraka na kusema risasi zitapita kwenye vita ya maji maji
Sadly wakapukutika sana
Chukueni tahadhari ohooo


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Watanzania tupo busy kutafuta nani alitabiri na ilikuwa mwaka gani.! Hata kama ni kweli au lah hii haitatusaidia kitu. Ngoma imeshaenea; hizo MBs tunazozitumia kusambaza hizo taarifa kwa nn tusizitumie kusambaza ujumbe wenye kuhamasisha watu kujikinga na Corona? Au nununua dakika wapigie ndugu na jamaa waliopo huko Nyancheche Sengerema kuwapa elimu ya kujikinga na Corona? Kumjua aliyetabiri haitasaidia kitu.

#StayHomeStaySafe
 
Back
Top Bottom