@LadyRed kaniambia, ilà msimamo wangu uko pale pale mkuuHaha mkuu nasikia eti kwa baadhi ya makabila kumgeuza samaki ni mwiko



@LadyRed kaniambia, ilà msimamo wangu uko pale pale mkuu![]()


@Chakorii hajasema ana mashaka na comment yangu, amesema haelewi mwandiko wangu, unajua sisi "madokta" tuna miandiko mibaya mkuuNimeona kuna sehemu mtoa mada amesema ana mashaka na comment yako
Nami nikajikuta napata mashaka na huyo samaki uliyemmaanisha![]()



Tuko pamoja kwenye kichwa mkuu lkni kwenye jicho labda nitoe kile kiini cheusi hapo sawa..
Nainjoi sana nikikula ubongo wa samaki wallah..
Wewe ni mwenzangu kabisa 😅Kwa upande wangu napenda kula kichwa aise🙆♀️🙆♀️🙆♀️ Ninaweza nisile ugali aloo🤪🤪..ninakisosomola ni kinouma🤸♀️🤸♀️🤸💃💃💃💃🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️
Sasa wale watu wa kuenda extra maili sasa😅😅namaanisha samaki wa baharini kama yule aliem’meza Yona😅😅 👉🐠🐟🐠🐟🐠🐟
Akili za kuumwa na njaa hizi😅😅😅😅
Maisha ukichukulia siriazi sana utakata moto🤣🤣
Imeisha hiyoooo...🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️🥂🥂
@Chakorii hajasema ana mashaka na comment yangu, amesema haelewi mwandiko wangu, unajua sisi "madokta" tuna miandiko mibaya mkuu![]()
Huyo anaitaji nguvu za kiume! Kula samaki mwenye mibakuna mdau hapa anasema kabla ya kula samaki lazima ale pweza .
sijui ndo nini anamaanisha
Ohooo oky..leo wikend mzeiya nainjoy na shemeji yako😎mambo ni mengi 😅😅 leo na kesho.tutafutane kwanzia jumatatu chiefYeah somehow na improve lakini ulinipa moja tu nakusubiria uniongeze na nyingine nifanye vurugu 🤪🤪 tena leo nipo free na kesho.