TAI DUME
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 10,745
- 29,219
Sheikh wangu samaki aliwa pande zote, hasa mwenye mkia mkubwa ukimla na JICHO bhasi naiinjoooy sheikh wanguJicho hili hili ambalo ni jicho au JICHO JICHO?
ila ugali samaki wa kukaanga, mchicha wa nazi au chuku chuku na kachumbari bomba sana![]()















