Haha, kwa nini Chakorii?Huu mwandiko wako ninamashaka nao![]()
Kumbe unapenda lakini unamachaguzi sio!!sawa mama nitakununulia hao kamba siku moja ule mpaka uchoke
Ohhhhoooo yeahhhh...😋😋😋😋mate yamenitoka 😅😅
🤣🤣🤣jirani ungejua nimekula tembele chukuchuku na pili pili ya kutosha hata usingenibariki na samaki aise maana unamuonea bure🤣🤣Leo umekula samaki ndiyo maana unatusumbua huku jirani
Sent from my HRY-LX1 using JamiiForums mobile app
Natumae umeshakula😜Nawazoom tu🤣🤣
Vipi, umesisimkwa?Kwendraaaaaaa
Vya sato.Unapenda kula vichwa?![]()