cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,596
- 188,619
Hata pweza walinitisha,Dsm maajabu mpaka sasa nasikia tu samaki aina ya tasa,jodari hahah natamani niwajueWacha weee😅😅hawakukutisha mkuu
Yaan sipendi kutoa miiba mie, mzima sjui u, but mic u [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Naona hupendi kuchambua miiba wewee nishakuona[emoji28][emoji28]
Mzima lkni