๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐mkuu unashtakiwa kwa kusababisha minyoo yangu ikaanza kupiga kelele..Nimefungua uzi na njaa imenikaba kinoma, Kitu ya sangara na sato huku Mwanza mimi huwa napenda kula kichwa na ile sehemu ya nyama chini ya tumbo ni balaa aseee.
Dada umenishinda kwa tabia๐ณ๐ณunakula hadi miba๐คช๐คช๐คชunadhulumu haki za paka ujue๐คฉ๐คฉ๐คฉ๐๐๐๐๐m napenda nimle samaki wote jmn nibakishe miba sijui mifupa ๐๐na kama ni yule anaetafunika adi miba nala kila kitu
Jicho
we siumenichunia hutaki tena kunipa hints ๐ฅUpo aise..
Wanasemaga nyama iliyo karibu na mfupa ni tamu mno..
Kwanini wewe unapenda mnofu??
wee sasa wale samaki wadogo ata miba aijakomaa inatafunika vizuri kwanini nisitafune ๐๐๐๐Dada umenishinda kwa tabia๐ณ๐ณunakula hadi miba๐คช๐คช๐คชunadhulumu haki za paka ujue๐คฉ๐คฉ๐คฉ
Tupe sifa za hiyo miba..kwa nn unapenda kutafuna miba??
kwamba ana Njaa yupo ktk lindi la mawazo?Tafuta msosi ule.