Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,376
- 5,471
Mimi ni kijana toka mkoa wa Kilimanjaro. umri wangu ni miaka 30s mwishoni. Mchanganyiko wa Kilimanjaro na Singida.
Allahmdulillahi nlifanikiwa kupata rangi ya Mtume. Ni mweupe. Nina watoto 4 kwa wanawake tofauti ambao wenyewe wameniambia na wengine wasiopungua wa 3 kwa wanawake ambao wawili wananipa mashaka na mmoja yeye huwa hasemi kitu zaidi ya kupenda kumleta mtoto wake aje anisalimie uncle. Na anafanana nami sana. Ila huwa hasemi kitu.
Katika hao wanawake wanne. Watatu wameolewa na Mmoja hajaoelewa. Ila ni mfanyakazi kwa nafasi nzuri tu.
Changamoto kubwa nayopata ni usumbufu toka kwa wanawake ambao wanataka angalau niwapatie Mimba.hii issue imekuwa kero sana kwangu hasa kutokana na mwonekano wangu na usafi nilio nao.
Wanawake wengi hasa wa kwenye ndoa wanataka angalau wapate mtoto mweupe. Hawa wanakuwa wameolewa na wanaume weusi, wembamba, warefu (sifa ambazo wanawake wengi hutaja) mimi si mrefu nina height 172 cm na uzito wa kgs 86 mpaka 90.
Lakini hili jambo limekuwa likiniponza. Tayari wanawake watatu kwa furaha kabisa kwa nyakati tofaut tofauti wameshaniambia wana mimba zangu. Na wanafurahi sababu watazaa mtoto mweupe ambaye atakuwa anapendeza. Na wengine huenda mbele zaidi kulalamika kuwa wamezaa na waume zao watoto wote weusi. Wanataka rangi ya mtume.
Hili jambo nimeona limezidi na limekuwa changamoto kwangu maana kwa sasa nashindwa hata kufikiria kuoa. Nikiwaza haya... Napata shida sana. Hawa wadada wameomba chonde chonde nisije nikazungumzia hili suala kwa waume zao. Na wameahidi kuwa muda wowote nikitaka kupewa issue niombe tu maana tayari nmeshakuwa mzazi na sehemu ya maisha yao.
Huyu dada mwingine yeye amesema atataka tena nimpatie mtoto wa pili huyu akifika miaka 4. Ili watoto wake wote wawe na baba mmoja na wawe wazuri wenye rangi. Yeye anasema hahitaji kuolewa. Ana uwezo wa kutunza watoto wake na kuwasomesha. Ila anaomba sana nikiwa na hamu anytime niombe hatonyima.
Jambo hili limenifanya nianze kuwafikiria na wanawake wengine wawili. Mmoja ni mke wa jamaa yangu. Huyu nilitembea naye bahati mbaya. Amezaa mtoto anafanana sana namimi. Sana. Naye ni mweupe na pua macho vinafanana na mimi.
Wao wote ni weusi. Mke na mume. Weusi sana tu. Huyu dada anadai mtoto ni wa mumewe lakini kuna wakati anajisahau ananiambia huyu mtoto mnafanana sana. Ila haraka anawahi kuniambia lakini siyo wako.
Kuna dada mwingine naye ni mke wa mtu naye ana mtoto ambaye nahisi ni wangu. Mumewe ana nafasi nzuri huko..... So wana uwezo mzuri tu na mimi nlifahamiana naye huko sababu ya kazi zangu tunakutana sana na wabunge, mawaziri, wakuu wa wilaya na mkoa na wakurugenzi etc. akatamani akiwa amelewa tukafanya. Alianza na kuniambia haoni siku zake. Kisha baadaye akapotezea kuwa its ok. Ilikuwa tu ni hormones. Nadhani aliamua kuwa mtoto abaki awe wake na mumewe.
Sasa nmekaa najisikia guilty sana. Nina watoto kwa wake wa watu na wanafanywa kama ni wa waume zao. Bado nakutana na changamoto za wanawake kusema " hebu zaa nami unipatie basi katoto keupe kama wewe" na hawaoni aibu kabisa.
Nakutana na hiyo changamoto kwa wake na wasio wake wa watu.sielewi kwa nini wanawake wengi wapo obssessed na watoto weupe wakati walipenda kuolewa na wanaume weusi.
Nadhani kuna haja ya kukaa na wake zenu vizuri muangalie hili suala.wajirekebishe.mimi nimechoka kuwa kama dume la mbegu. Sioni kama ni sawa pia ni dhambi. Maana leo tena kuna mwanamke kama utani ananiambia " J nipatie mimba basi tuzae katoto kazuri kafanane na wewe rangi" huku anacheka. Nikaona huu mtego.