Kwenye mapenzi

Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake
 
Mm natoa ofa ya kumchora Lamomy bure akinicheki Dm. Sina hela lakin mapenzi nnayo 😂. Namuongeza na kiwanja
😹 Najua unataka kuja DM hiyo kunichora zuga tu..!!

Haya njoo upige swagger zako za kizalamo pm iko wazi..!!
 
Kwan lamomy unaamin kabisa mm mzaramo? Na mteja wa kiwanja ulisema utamleta naona kimya
 
Kwani ukiwa mzaramo haipiti? 😹
Tena nasikia wazaramo mna tuvitu vitu vyenu vya kimahaba..!!
Mteja yupo tatizo unazingua masihara mengi wewe..!!
 
Bas fanya tupate hela, nimeacha Dm open muda mref labda lamomy atanichek leo. Siku zianenda tu. Usijal mm sio kijana wa hovyo, naheshim sana privacy ya mtu.

Nchek Tujue tunafanyaje
 
Nitakucheck
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…