Mmmh, hii taasisi mbona inachoshwa hivyo??
Hivi nashawishiwa kuamini hakuna wake za watu walotulia???
Ila kuna mmoja naye hapa, ananshangaza na vioja vyake na kaolewa.
Nadhani inabidi tuongelee za mazuri kuwapa moyo akina baba kuwa hawachakachuliwi kiasi hiki.

Hizi ndoa za siku hizi hizi!!
Hapana mkuu. dawa ni si kuziepuka bali dawa ni kuwa mwaminifu na commited kwenye ndoa yako.Ni bora kuziepuka.....lo!
Hapana mkuu. dawa ni si kuziepuka bali dawa ni kuwa mwaminifu na commited kwenye ndoa yako.