Kwenye maisha usikate tamaa

Kwenye maisha usikate tamaa

Miaka 6 iliyopita nilikuja DSM kutafuta maisha kutoka mkoa fulani nikiwa na elimu ya form 4 tu, basi nikawa napiga mishemishe huku najisomesha nakaa kwa washikaji tu. Hatimae naliaga jiji la Dsm nikiwa mtumishi wa government. Usijikatie tamaa Mungu yupo
Hongera sana mkuu 👏👏

Sina neno, igeni mfano wa mtoa mada na msijikatie tamaa.
 
Back
Top Bottom