Kwenye mahojiano yake Lissu hajaonesha ni kivipi CHADEMA itakuwa mbadala wa CCM

Mtego alioutega Lissu wa KATIBA MPYA , KATIBA MPYA , KATIBA MPYA kama una akili ya kawaida huwezi kuelewa .

Utaratibu wa kuongoza nchi hautokani na utashi wa vyama , unawekwa ndani ya Katiba ya Nchi , mle itajulikana ukivurunda utafanywaje , Lissu angekuwa katibu mwenezi wa Chadema tungemwambia asome sera za chama .

Lakini huyu ni Presidential Material
 
Kwa hiyo Katiba Mpya ambayo wala huijui ikoje ndiyo itakupa hoja.
You are like a blind man walking towards a cliff edge.
Uko NJE ya mada uliyoianzisha wewe mwenyewe!!

Au umesahau ume - raise hoja gani kwenye bandiko lako?

Tundu Lissu asingeweza kueleza kitu ambacho wenyeji wake ITV hawajauliza au hawajataka kukifahamu toka kwake..!

Angefanya vile unavyofikiri wewe bila shaka angekuwa mwehu kama wewe..

Hizo zilikuwa dakika 45 tu. Mambo ni mengi. Kwa sasa ni KATIBA MPYA, KATIBA MPYA, KATIBA MPYA. Hutaki jinyoge ufie mbali huko..!!

Hizo dakika 45 haukuwa mwisho wa dunia wala wa TL kusikika na kuonekana. Ndiyo tu mwanzo mchakamchaka

Unataka kujua zaidi, basi endelea kufuatilia mikutano na makongamano ya CHADEMA na Tundu Lissu, utaelewa tu unachotaka kukielewa.
 
Nimeisikiliza kwa makini ile interview ya Tundu Lissu na ITV jana jumatatu saa tatu jioni. Tundu Lissu naona kama amekuwa confused. Namwonea huruma kwa jaribio la maisha yake, si hali nzuri binadamu kuipitia kamwe...

Alikuwa anajibu maswali anayoulizwa na muongozo kipindi. Labda ungewashauri waongoza vipindi wajikite kuuliza kwenye maeneo hayo.
 
Ukilinganisha interviw za Mwalimu ni hizi za Lissu, ni mbingu na nchi.
One is ashamed kumwita Lissu a politucian, kulilia mafao publicly badala ya kufikiria future ya nchi-shame.
 
Sukuma Gang wamepoteana kama kuku aliyekatwa kichwa kisha akaachwa
 
Siku zote tunasema humu, ccm na wapinzani wote wanatembelea kwenye upumbavu wetu, vinginevyo tungekuwa na responsible political parties.
 
Presidential material?
My foot, kwa mihemuko Lissu hana tofauti na Magufuli!
 
Naona S gang mnahenyeshwa sana na Lissu. CDM hoyeeeeeee!
 
Siku zote tunasema humu, ccm na wapinzani wote wanatembelea kwenye upumbavu wetu, vinginevyo tungekuwa na responsible political parties.
Hongera kwa kujitambua.
Ndiyo maana nasema Lissu kulia lia kama ndugu yake Nalaila Kiula miaka hiyo ni upungufu mkubwa kisiasa na ubinafsi.
 
Wee Chawa wee. Acha Uchawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…