call me T
JF-Expert Member
- Apr 27, 2015
- 291
- 390
Kama kichwa cha mada kinavyo eleza hapo juu sijawahi hudhuria interview yoyote hata ya ulinzi shirikishi kifupi sina experience yeyote kuhusiana na interview.
Mimi ni muhitimu wa chuo fulani mwaka huu sasa kuna baadhi ya sehemu nilituma maombi ya kazi na leo wameijibu email yangu kwamba watawasiliana na mimi kwa ajiri ya usaili.
Sasa naomba kufahamishwa kwa wenye uzoefu au wanao jua
Nivae mavazi gani au niwe na muonekano upi kuanzia nywele mpaka chini kwa ujumla ili kuendana na tukio lenyewe