Kwenye interview nivaaje?

call me T

JF-Expert Member
Apr 27, 2015
291
390
Kama kichwa cha mada kinavyo eleza hapo juu sijawahi hudhuria interview yoyote hata ya ulinzi shirikishi kifupi sina experience yeyote kuhusiana na interview.

Mimi ni muhitimu wa chuo fulani mwaka huu sasa kuna baadhi ya sehemu nilituma maombi ya kazi na leo wameijibu email yangu kwamba watawasiliana na mimi kwa ajiri ya usaili.

Sasa naomba kufahamishwa kwa wenye uzoefu au wanao jua

Nivae mavazi gani au niwe na muonekano upi kuanzia nywele mpaka chini kwa ujumla ili kuendana na tukio lenyewe
 
Here are the fundamental building blocks of what women should wear to a professional interview.

  • Suit in navy, black, or dark grey
  • Suit skirt just below or above the knee
  • Coordinated blouse
  • Conservative shoes
  • Limited jewelry
  • No dangling earrings or arms full of bracelets
  • No jewelry is better than cheap jewelry
  • Professional hairstyle
  • Light make-up and limited amount of perfume
  • Clean, neatly manicured nails
  • If possible, cover tattoos
What Not to Wear to a Job Interview
  • Flip-flops or sneakers.
  • Underwear (bras, bra straps, briefs, boxers, etc.) that is visible. Don't wear any underwear that shows - even if your bra straps match your top.
  • Shorts.
  • Jeans.
  • Skirts that are too short.
  • Pants that are too low-rise or too tight.
  • Blouses that are too low-cut or too short - don't show your cleavage or your belly.
 
Kwa kiswahili mkuu ili tukupe vizuri
 
Nivaaje ndio kimbulu au kiswahili? Kama kiswahili unachoenda nacho kwenye usaili ni hicho na kienglish metii ndugu yangu uiende.
 
Nivaaje ndio kimbulu au kiswahili? Kama kiswahili unachoenda nacho kwenye usaili ni hicho na kienglish metii ndugu yangu u
siende.
 
Here are the fundamental building blocks of what women should wear to a professional interview.

  • Suit in navy, black, or dark grey
  • Suit skirt just below or above the knee
  • Coordinated blouse
  • Conservative shoes
  • Limited jewelry
  • No dangling earrings or arms full of bracelets
  • No jewelry is better than cheap jewelry
  • Professional hairstyle
  • Light make-up and limited amount of perfume
  • Clean, neatly manicured nails
  • If possible, cover tattoos
What Not to Wear to a Job Interview
  • Flip-flops or sneakers.
  • Underwear (bras, bra straps, briefs, boxers, etc.) that is visible. Don't wear any underwear that shows - even if your bra straps match your top.
  • Shorts.
  • Jeans.
  • Skirts that are too short.
  • Pants that are too low-rise or too tight.
  • Blouses that are too low-cut or too short - don't show your cleavage or your belly.
Ahsante mkuu ngoja nipitie nipitie
 
Ila mbona kama hii ina wahusu wanawake mimi ni ME
 
Interview haina formula na huwa haifundishwi. Chamsingi vaa mavazi ya kiofisi yaliozoeleka suruali ya kitambaa, shati la mikono mirefu na viatu vya kufunika miguu
 
Kama ni sekta binafsi awaangalii mavazi,wanaangalia utawapa vipi faida.....kama unaweza kuwapa faida zaidi, mavazi,nyumba,hata usafiri wataweza kukupatia.Cha muhimu unajua nini na unaenda kuwasaidia nini.Kama ni hizi sekta zingine vaa mavazi ya heshima tu.
 
Ahsante sana mkuu kwa ushauri na maelekezo yako ni sekta binafsi
 
Hakikisha kichwa kiko smart,na unavyojieleza focus katika kuwapunguzia garama na namna utakavyowapatia faida,na uongee kwa sauti na kwa kujiamini;ukifanya hivyo hiyo kazi ni ya kwako.

Asante boss nimekupata ngoja nizame mazoezini na kupitia taarifa muhimu zinazo wahusu
 
Back
Top Bottom