Katika muungano wetu wa Zanzibar na Tanganyika suala la michezo halimo hivo ushiriki wa michezo kimataifa kila nchi yapaswa ijitegemee sasa inakuwaje timu ya Tanganyika kutumia:-
1. Wimbo wa taifa wa JAMHURI YA MUUNGANO.
2. Bendela ya taifa ya JAMHURI YA MUUNGANO.
3. Jezi ya taifa ya JAMHURI YA MUUNGANO na kadharika, hii si sawa hata kidogo.
Tafakari....
tuko tunaoitambua nchi yetu na kama na siku si nyingi itafufuka....Hamna nchi inaitwa Tanganyika, ilikufa tarehe 26 Aprili 1964. Sasa wimbo, bendera na jezi vitoke wapi?
hamna nchi inaitwa tanganyika, ilikufa tarehe 26 aprili 1964. Sasa wimbo, bendera na jezi vitoke wapi?
Katika muungano wetu wa Zanzibar na Tanganyika suala la michezo halimo hivo ushiriki wa michezo kimataifa kila nchi yapaswa ijitegemee sasa inakuwaje timu ya Tanganyika kutumia:-
1. Wimbo wa taifa wa JAMHURI YA MUUNGANO.
2. Bendela ya taifa ya JAMHURI YA MUUNGANO.
3. Jezi ya taifa ya JAMHURI YA MUUNGANO na kadharika, hii si sawa hata kidogo.
Tafakari....
TAFAKARI NDUGU.Hamna nchi inaitwa Tanganyika, ilikufa tarehe 26 Aprili 1964. Sasa wimbo, bendera na jezi vitoke wapi?
Ki vipi? Zenji ni nchi na ina rais wake, waziri mkuu wake n.k.