Wordsworth
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,219
- 3,427
Kwanza kabisa kwenye blender kuna render engine mbili, eevee na cycles. Render engine inatumika kutengeneza picha ya mwisho ukishatengeneza scene yako. Kwahiyo ina calculate mwanga, mng'ao wa vitu kama chuma n.k. Eevee ni real time engine ambayo ni kama hizi za game (na ndio wabongo wengi wanatumia, ina render kwa muda mchache sana) kwahiyo ina calculate mwanga kwa makadirio na sio kutumia physics hivyo evee ina sacrifice quality kwa speed. Na mwanga ni kitu kikubwa sana kufanya kitu kionekane kama cha maisha ya kweli. Cycles yenyewe inatumia physics ku calculate mwale wa mwanga ukifika kwenye uso wa kitu utadunda kwenda wapi kama maisha ya ukweli (ray tracing au path tracing). Hivyo picha ya mwisho inakua na quality karibu na maisha ya kweli, lakini kwa cost ya GPU na CPU power. Hivyo ina render kwa muda mrefu sana kama computer ina gpu au cpu ndogo. Mfano hii video yenye sekunde 5 (warning volume ipo juu sana)Wenye uzoefu wa blender na 3d animation kwa ujumla nina swali. Kuna studio hapa bongo inatengeneza 3d animation kwa kutumia blender lakini quality inakuwa poor.
Hapo hapo nikiangalia animation za watu wa nje wanazotengeneza kwa kutumia blender zinakuwa na quality nzuri sana. Shida inakuwa ni nini? Software ni ile ile lakini tofauti inakuwa kubwa sana.
Aise hii umetengeneza wewe 🙌🙌Kwanza kabisa kwenye blender kuna render engine mbili, eevee na cycles. Render engine inatumika kutengeneza picha ya mwisho ukishatengeneza scene yako. Kwahiyo ina calculate mwanga, mng'ao wa vitu kama chuma n.k. Eevee ni real time engine ambayo ni kama hizi za game (na ndio wabongo wengi wanatumia) kwahiyo ina calculate mwanga kwa makadirio na sio kutumia physics hivyo evee ina sacrifice quality kwa speed. Na mwanga ni kitu kikubwa sana kufanya kitu kionekane kama cha maisha ya kweli. Cycles yenyewe inatumia physics ku calculate mwale wa mwanga ukifika kwenye uso wa kitu utadunda kwenda wapi kama maisha ya ukweli (ray tracing au path tracing). Hivyo picha ya mwisho inakua na quality karibu na maisha ya kweli, lakini kwa cost ya GPU na CPU power. Hivyo ina render kwa muda mrefu sana kama computer ina gpu au cpu ndogo. Mfano hii video yenye sekunde 5 (warning volume ipo juu sana)
View attachment 2194466
nime render kwa cycles, resolution ndogo tu ya 640p lakini imechukua masaa 24 ku render kwenye ki laptop changu. Sasa imagine unatengeneza short movie ya dakika kadhaa, itachukua miezi ku render na computer zetu za kibongo. Pia tofauti na render engines kuna vitu kama ukungu, realistic reflections ambavyo vinaongeza uhalisia na ung'aavu wa picha, vinaongeza muda hata mara 5 kwenye cycles, hivyo wabongo wanavitoaAisee hise
Kutengeneza imechukua week moja, ku render ndio imechukua masaa 24.Aise hii umetengeneza wewe 🙌🙌
Masaa 24 noma
anza hapa: Search youtube blender guru donut tutorialNaomba tutorial mkuu...
ShikamooKwanza kabisa kwenye blender kuna render engine mbili, eevee na cycles. Render engine inatumika kutengeneza picha ya mwisho ukishatengeneza scene yako. Kwahiyo ina calculate mwanga, mng'ao wa vitu kama chuma n.k. Eevee ni real time engine ambayo ni kama hizi za game (na ndio wabongo wengi wanatumia, ina render kwa muda mchache sana) kwahiyo ina calculate mwanga kwa makadirio na sio kutumia physics hivyo evee ina sacrifice quality kwa speed. Na mwanga ni kitu kikubwa sana kufanya kitu kionekane kama cha maisha ya kweli. Cycles yenyewe inatumia physics ku calculate mwale wa mwanga ukifika kwenye uso wa kitu utadunda kwenda wapi kama maisha ya ukweli (ray tracing au path tracing). Hivyo picha ya mwisho inakua na quality karibu na maisha ya kweli, lakini kwa cost ya GPU na CPU power. Hivyo ina render kwa muda mrefu sana kama computer ina gpu au cpu ndogo. Mfano hii video yenye sekunde 5 (warning volume ipo juu sana)
View attachment 2194466
nime render kwa cycles, resolution ndogo tu ya 640p lakini imechukua masaa 24 ku render kwenye ki laptop changu. Sasa imagine unatengeneza short movie ya dakika kadhaa, itachukua miezi ku render na computer zetu za kibongo. Pia tofauti na render engines kuna vitu kama ukungu, realistic reflections ambavyo vinaongeza uhalisia na ung'aavu wa picha, vinaongeza muda hata mara 5 kwenye cycles, hivyo wabongo wanavitoa.
Usianze kuhama hama, stick with one thing and be good at it.To
Toa elimu kidogo kuhusu hili chimbo
Nilihisi tu itakuwa kwenye kurender. Sasa si mtu ajisacrifice arender mwezi mzima kuliko kuproduce kitu chenye low quality?Kwanza kabisa kwenye blender kuna render engine mbili, eevee na cycles. Render engine inatumika kutengeneza picha ya mwisho ukishatengeneza scene yako. Kwahiyo ina calculate mwanga, mng'ao wa vitu kama chuma n.k. Eevee ni real time engine ambayo ni kama hizi za game (na ndio wabongo wengi wanatumia, ina render kwa muda mchache sana) kwahiyo ina calculate mwanga kwa makadirio na sio kutumia physics hivyo evee ina sacrifice quality kwa speed. Na mwanga ni kitu kikubwa sana kufanya kitu kionekane kama cha maisha ya kweli. Cycles yenyewe inatumia physics ku calculate mwale wa mwanga ukifika kwenye uso wa kitu utadunda kwenda wapi kama maisha ya ukweli (ray tracing au path tracing). Hivyo picha ya mwisho inakua na quality karibu na maisha ya kweli, lakini kwa cost ya GPU na CPU power. Hivyo ina render kwa muda mrefu sana kama computer ina gpu au cpu ndogo. Mfano hii video yenye sekunde 5 (warning volume ipo juu sana)
View attachment 2194466
nime render kwa cycles, resolution ndogo tu ya 640p lakini imechukua masaa 24 ku render kwenye ki laptop changu. Sasa imagine unatengeneza short movie ya dakika kadhaa, itachukua miezi ku render na computer zetu za kibongo. Pia tofauti na render engines kuna vitu kama ukungu, realistic reflections ambavyo vinaongeza uhalisia na ung'aavu wa picha, vinaongeza muda hata mara 5 kwenye cycles, hivyo wabongo wanavitoa.
Hahaha Dah sifa kubwa sana ndugu hiyo,nadhani wapo wanaofanya vizuri zaidi lakini hawa-shei kazi zao.Nilihisi tu itakuwa kwenye kurender. Sasa si mtu ajisacrifice arender mwezi mzima kuliko kuproduce kitu chenye low quality?
Hiyo video yako ni kati ya 3d animation bora niliyowahi kuona imetengenezwa bongo.
Ungemodel kwenye blue printsTukiwa ambia bongo movie watupe kazi hawaelewiView attachment 2193544View attachment 2193545View attachment 2193546
Wenye uzoefu wa blender na 3d animation kwa ujumla nina swali. Kuna studio hapa bongo inatengeneza 3d animation kwa kutumia blender lakini quality inakuwa poor.
Hapo hapo nikiangalia animation za watu wa nje wanazotengeneza kwa kutumia blender zinakuwa na quality nzuri sana. Shida inakuwa ni nini? Software ni ile ile lakini tofauti inakuwa kubwa sana.
Ni kweli ulichosema. Lakini mimi naona tatizo kuu ni professionalism. Hata kama watu ni wachache wakikaa vizuri nakuwa serious wanatoa kitu kizuri. Hata huko nje kuna studio ambazo watu wapo wachache lakini animation zao za 3d sio mbaya kama za wabongo. Watu waelewe kwamba hii kitu inachukua muda mrefu na ukitaka kufanya mambo haraka matokeo yake yataonekana mabovu.Professionalism vs Budget
Wenzetu wako vizuri kwenye professionalism na hii inarahisisha watu kujigawa.
Animation zinakuwa na pipeline ambayo inaonyesha unaanzia wapi Hadi unapoishia, wenzetu kila mtu anaplay part yake, lakini huku bongo project ya 1M mtajigawa vipi ?
Kuna modelling/sculpting, Retopology, UV mapping, Texturing, Baking, Rigging, Animating and Rendering.
Sasa huku kwetu project nyingi zinafanywa na watu wachache ambapo mtu mmoja anafanya modelling, Baking na Rendering, mwingine ataanimate na kufanya rigging na changamoto ni kuwa it's an art kwahiyo you won't make a shit to the eye, kama ni rubbish it will look rubbish,
Unaweza kuwa modoller or animator mzuri lakini final work ikawa damn as shit kwasabu tu una lack perspective ya some aspects.
Kujua tu how lighting is working on blender na the art of lighting ni tofauti sana.
Nimefanya kazi nyingi online za Weapon Mechanics and sculpting / modelling lakini ukimwambia mzungu unafanya vyote hakuelewi.
Kwahiyo unaishia tu kusell model
Kazi nzuri mkuu, apo ni kupambana na realistic texture, tumia nodes