Kwenu yapo haya?

Kwenu yapo haya?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,070
1475379710922.jpg
 
Amatunda damu-eti ukiyala kwa wingi yanaongeza damu. Sijui nani alifanya utafiti kuthibitisha haya
[emoji15] [emoji15] [emoji15] huyo anafaa kuingia kwenye guineas book of records kipengele cha uongo [emoji3] [emoji3]
 
Mshana Jr nilitaka kutoa uzi wa kukuulizia[emoji3].
"Jamani mwenye taarifa za Mshana"
 
Mshana Jr nilitaka kutoa uzi wa kukuulizia[emoji3].
"Jamani mwenye taarifa za Mshana"
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Sara my dear afadhali hukuutoa ungeambiwa wewe ni mimi kwa ID nyingine
 
Mara ya mwisho kuyaona mwaka 1999
[emoji102] [emoji102] [emoji134] [emoji134] [emoji144] [emoji144] [emoji144] yanatoweka kwa kasi kwakuwa ni matundapori na serikali haina mpango wowote wa kuyaendeleza
 
Kwema huko dada? Jinsi maendeleo yanavyokuja ndivyo jinsi tunavyozidi kupoteza vitu vingi vya zamani
Kwema ila Mhu joto na mvua basi. Ni kweli tukiwa wadogo tulikuwa tunaamkia kuangalia liloiva humo shambani. Mimi shambani kwangu nina miche miwili. Ila watoto wakitoka shule (kijijini) pale ndo stand ya mwanzo.
 
Poleni huko! Itunze vizuri kwa manufaa ya mbeleni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom