Mimi Huwa najibu "Aisee" 😅😅😅😅Ooh unajua nakupenda sana, sijawahi ona mwanamke mzuri kama wewe, ooh natamani ungekuwa karibu yangu.. wewe ni ndio mama watoto wangu, nyokonyokonyokooo…! Ni maelezo mengii!!🤦🏽♀️
Njoo baharini 😁Abeee?
Mimi ni vistika tu au none! Naona kama unanimalizia calories tu!😅Mimi Huwa najibu "Aisee" 😅😅😅😅
Subiri ni kufirie , siku hizi tunapotezea tu, mda mwingine unajiepusha na matatizo ambayo pesa haiwezi yatatuaKawaida mbona! Kwani mlizaliwa wote mpaka umsubiri yeye? Saa ingine kaenda kuaga mahusiano yake ya zamani ndio ahamaie kwako!
Bahari! Siwezi vuka Bahari mimi!Njoo baharini 😁
Sasa aje mtu anayejali jamani.Mimi ni vistika tu au none! Naona kama unanimalizia calories tu!😅
Chapa ilale anazungusha akamzungushie Baba yakeanaekubali au kukataa straight ama anaepiga danadana ?
Hapa ndio maneno kama false pretense, hypocrisy, deception yalikojificha?Tunaweza kuiga tabia yoyite ile kama tunataka jambo letu kutimia
Utapotezea mpaka uzee ukufike, labda ukatafute mke nchi nyingine huko!Subiri ni kufirie , siku hizi tunapotezea tu, mda mwingine unajiepusha na matatizo ambayo pesa haiwezi yatatua
😁 ntakufundisha ku diveBahari! Siwezi vuka Bahari mimi!
Bila chombo chochote Cha kueleaaa. 😝
Fanya hivo haraka sana kabla sijaolewa 😅😁 ntakufundisha ku dive
Naomba account no please 😁Yani hapo Bro hata usijichoshe kuongea 😅😅😅
We jali tu.
Mengine tunajiongeza wenyewe.
Na kujali kwenyewe sio kwa sms za Kila Dakika za oiii uko poa? mara vipi? 😝 Peleka form two.
kwani unaolewa lini?Fanya hivo haraka sana kabla sijaolewa 😅
😅😅😅😅😅😅.Naomba account no please 😁
Wakati wa bwana ukifika 😅kwani unaolewa lini?
Sasa mtu hata sio bikra danadana za nini?Utapotezea mpaka uzee ukufike, labda ukatafute mke nchi nyingine huko!
Halafu upo busy unatusema tu ooh nakuchunguza, nakuangalia...kumbe huna unachochunguza, unataka kuona kama hiyo care inakujaje. Msipemde sana pesa wakuu, mtakutana na vitu vya ajabu.Kwamba na huo uzee wako wote hujui wanawake wanataka nini? Unaiga hawa vijana wadogowadogo hata utamu wa naniliu hawajaujua vizuri🤣
Kwa hiyo mnataka pesa, yani yote hayo ni kupewa pesa, ndio care mnayoitaka?Yani hapo Bro hata usijichoshe kuongea 😅😅😅
We jali tu.
Mengine tunajiongeza wenyewe.
Na kujali kwenyewe sio kwa sms za Kila Dakika za oiii uko poa? mara vipi? 😝 Peleka form two.
Nadhani ni wakati wenyewe ni sasa 😁 njoo baharini tuinjoi life uone vyenye samaki wanaogelea na wadudu wengine wa oceanWakati wa bwana ukifika 😅