Kwenu wanawake wenzangu

Mm namkubali chap, bikra bikra tuu hawana mambo mengi kama nyie mliokwepa mishale mingi
Basi kapambane naye hakuna ulazima wa kumlinganisha na mtu mwingine huo ni udhaifu! Kumkubali bikra hakuna haja ya kutafuta defence mechanism, ni machaguo yako binafsi! Kabebe uwe unamfunika usoni na blanketi muda wa show๐Ÿคฃ
 
Chap kwa haraka ๐Ÿ˜….
Yani mtu anijali vizuri halafu nianze kujivuta.
Sio swaga zangu ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜.

Sasa mtu anajieleza tu bila vitendo aisee anachosha ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…hata kupokea simu yake inakuaga nzito sana.
Mtu anakuja na maneno matupu nyoo!๐Ÿšฎ
 
Chap kwa haraka ๐Ÿ˜….
Yani mtu anijali vizuri halafu nianze kujivuta.
Sio swaga zangu ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜.

Sasa mtu anajieleza tu bila vitendo aisee anachosha ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…hata kupokea simu yake inakuaga nzito sana.
Mtu anakuja na maneno matupu nyoo!๐Ÿšฎ
Sasa nawaelewa,, kumbe CARE ndio mpango mzima, wanawake mpo strategic sana.
 
Utadhani Yuko kwenye interview kaulizwa "Tell us about yourself"๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Ooh unajua nakupenda sana, sijawahi ona mwanamke mzuri kama wewe, ooh natamani ungekuwa karibu yangu.. wewe ni ndio mama watoto wangu, nyokonyokonyokoooโ€ฆ! Ni maelezo mengii!!๐Ÿคฆ๐Ÿฝโ€โ™€๏ธ
 
Sasa nawaelewa,, kumbe CARE ndio mpango mzima, wanawake mpo strategic sana.
Yani hapo Bro hata usijichoshe kuongea ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
We jali tu.
Mengine tunajiongeza wenyewe.

Na kujali kwenyewe sio kwa sms za Kila Dakika za oiii uko poa? mara vipi? ๐Ÿ˜ Peleka form two.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ