Kwenu wanawake wenzangu

na kweliπŸ˜€πŸ˜€
 

Ni hunam nature, wazazi wetu mpaka kuwa wanandoa walipitia VETING ya standard za CIA, KGB, M16 na MOSSAD
 
Unamzungusha halafu baadaye unampa sa umefanya nini?? Kuliwa ni kuliwa tu haijalishi umeliwa muda gani..!! 😹😹😹

Halafu siku hizi hatutongazani unaombwa namba mchana jioni unaambiwa β€œBabe jiandae jioni tunaenda dinner Cape Town”

Ikifika usiku tayari new couple in town 😹
Asubuhi unaamshwa utoe breakfast ya chai kitumbua..!!
 
Wakumbushe pia ilo wanajitia ugumu tu jyfu ila hali na mienendo ndo iii
 
Kuna muungwana kakunyima humu? 😹😹
Em mwambie akupe uchangamshe damu kitu chenyewe anachokunyima kina sura mbaya..!!
Eeet ehh namtag sema nae ni miongoni wa waliotia kinyesi jangwani pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…