Kwenu wanawake wenzangu

Ndio lazima point zote zifanye kazi huwezi shikilia bango na watu wanatofautiana! Kuna kijana akikufuata hata huwazi mara mbili, kuna species nyingine inakubidi utafute merits kwanza ndio ukubali.. ndio tunaita kufikiria sisi😎
Sema now , hizi mambo za kutongozana ni kama hazipo kihivyo wengi wanagidana kimasihara masihara tu
 
Kabisa! Na hawa ndio tunaowataka! Mambo ya hawa wa jibu langu lini, the heck🚮
Sasa nakuelewa mkuu, kama chawa anaweza kutumwa kuleta ujumbe na domo zege mwenye pesa zake, kuchunguza tuweke pembeni, labda kuchunguza ana ukwasi kiasi gani😅
 
blessed chiqqah realMamy kwa bahati mbaya siku hizi mwanaume ukikubali kuzungushwa kwa mda mrefu unajiweka kwenye nafasi ya kutumika kwenye maswala ya pesa, attention, & favors..(si unapenda bana) uhusiano unakua one sided, upande wa mdada unafaidika, huku mwanaume hapati chochote.

Saundisha mtu wiki 2 au 3 kama haeleweki chapa lapa, ndo ile mwishowe unazungushwa unakuja kukubaliwa sababu ya hela zako, au sababu wanaume aliowataka hawamtaki, mwanaume uliezungushwa unakua 2nd choice
 
Hii ndo sana tu 😅
 
Bro mtu anaweza kukutongoza uko kwenye ovulation ujue.....Yani hii Nchi ina mambo mengi sana we kaa tu standby
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…