Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
Wanaofanya hivyo wengi huwa wana matatizo kichwani
Wanaofanya hivyo wengi huwa wana matatizo kichwani
Zinatetea haki za Me au?Teh kumbe hazipo
Mbona mrembo hivo halafu amefanya tukio la kibabe sana
Hata mwanaume mmoja anaweza akawa taasisi. Ni yupi amekemea huo uovu uliofanywa?Zinatetea haki za Me au?
Ndo ujue wanawake ni viumbe hatari ulimwenguniMbona mrembo hivo halafu amefanya tukio la kibabe sana
Tumesha kemea mbona mda mrefu sanaSasa hujaona mwanaume kamua mtoto wake kisa kajikojolea..au hayo hamyaoni
Sent using Jamii Forums mobile app
nishakupiga marufuku kuniquote


Mlikosana wapi ?nishakupiga marufuku kuniquote
Siwezi panic lkn ulichoandika nj pumba. Ungesema kwanini wapigania haki wanawake wamemute sio kugeneralize wanawake wana roho mbaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi kwenye mada amewazungumzia wapigania haki za wanawake kumute?Mbona unazidi kupanic mkuu! Hatuna ugomvi na nyinyi, kitendo cha wanaojiita wapigania haki za wanawake kumute ndiyo roho mbaya yenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora utuulizeMlikosana wapi ?




Panya mpango m make peaceBora utuulize
Kuna Uzi wake frani hivi nakumbuka ulikua unahusu Mambo ya Bikra za Wanawake
Ndio huko nilipo kosana na Mwenza Wangi
![]()
Mimi hapaHata mwanaume mmoja anaweza akawa taasisi. Ni yupi amekemea huo uovu uliofanywa?
Hahahah kabisa Ndio nafanya Fanya hapa Aisee Najua PM hatonijibuPanya mpango m make peace

Wanawake MUNGU anawaona. Ona sasa hata kwenye mauaji mnasaidiana. Hapo unamaanisha hata ungekuwa wewe,ungemfanyia unyama huo yule binti mdogo,(kuua)sababu ya elfu 50 inauma?. Unampiga huku unarecord?. Unamnyima chakula huku umemfungia,ukisema hujakusudia kuua?Kwaiyo unasema mtu akisaliti auwawe...au ke au me?...HUWEZI KUsema roho mbaya Ni ya mwanamke kwasababu...hiyo elfu hamsini nayo ilimuuma sidhani Kama alikusudia kumua
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi kwenye mada amewazungumzia wapigania haki za wanawake kumute?
Waeleweshe hao hadi waeleweKama hutojali, soma tena nilichokiandika kwenye post yangu ya mwanzo utapaona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake ni wa kuishi nao kwa taadhari kubwa sanaWanawake MUNGU anawaona. Ona sasa hata kwenye mauaji mnasaidiana. Hapo unamaanisha hata ungekuwa wewe,ungemfanyia unyama huo yule binti mdogo,(kuua)sababu ya elfu 50 inauma?. Unampiga huku unarecord?. Unamnyima chakula huku umemfungia,ukisema hujakusudia kuua?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutumwa ukafanye ubaya inakufanya uwe mwema?Muddy si alikodiwa akafanye ubaya na mtu mmbaya