Kwenu wanawake/ akina mama

Kwenu wanawake/ akina mama

Kama na wewe ni mwanamke, basi una tatizo fulani.
Wanawake wengi wapo kimya??? Una uhakika au unabwabwaja tu ndugu. Muwe mnaongea kitu cha uhakika..mitandaoni wengi waliolizungumzia na kulikemea ni wanawake.
Hebu nionyeshe mwanaume aliyelizungumzia hili tukio kwa kukemea nimjue.
.
.
Acheni chuki za kijinga against wanawake. Binadamu yoyote yule anaweza kuwa na roho mbaya. Ina maana hakuna matukia ya kutisha yaliyotendwa na wanaume. Nyie mnajiona malaika sana..kwa lipi?

PUMBAVU ZENU WOTE WENYE MTAZAMO KAMA WAKO.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunian humu wanawake ni binadamu wa hovyo. Yale ma activists tunayasikia yakiwasemea wale waliovunjwa mikono na askari magereza tu. Ya hovyo sana. Mwenzao aliyeua utadhani alikuwa na haki. Yamenyamaza. Wapumbavu sana sijwahi kuona. Halafu yanakuwa mstari wa mbele makanisani eti kumuomba Mungu. Kamwe wanawake hamtauona ufalme wa mbinguni. Subirini niwe kiongozi hizo asasi zote zinazotetea wanawake nitazifuta siku hiyohiyo baada ya kuapishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka kufikia hatua hiyo mwanaume kumchoma mwanamke na gunia za mkaa,sababu kubwa ni unyama huo huo wa mwanamke,usariti. Lakini fikiria yule anamuua sababu ya elfu 50. Unamuacha mwanamke mwenzio ukimfungia ndani afe kwa njaa,baada ya kumpiga sana. Wanawake ni zaidi ya unyama uliofanyika rwanda 1994. Wa mwanza kamuua mtoto wake wa kumzaa,masikini asie na hatia hata moja yule mtoto wa miaka 9. Unyama wa aina gani huo?

Sent using Jamii Forums mobile app
what's wrong with you dude? why are you so hateful toward women? SHAME ON YOU AND THAT KIND OF THINKING!!! Hakuna kinachokutofautisha na hao wauaji sababu umejaa moyo wenye chuki kuu dhidi ya wanawake. I pray you find healing.
 
Back
Top Bottom