Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,509
- 94,640
Acheni zenuMuddy alikua anatekeleza tu wajibu wake wa kuishi nao kwa akili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni zenuMuddy alikua anatekeleza tu wajibu wake wa kuishi nao kwa akili.
Muulize mtoa mada, atuonyeshe taasisi ya wanaume iliyokemea.Wapi wamelizungumzia hilo swala ??
Taasisi gani ??
Tuwekee Link tuone wenyewe ??
![]()
Hata mama yake aliyemzaa..ni shetani..sasa huyu mlete uzi kazaliwa na mama shetani yeye atakuwa nani?Usiseme wanawake wana roho mbaya mashetani sema huyo mwanamke, kwani wanaume mangapi wanafanya? Watu wamelisemea sana labda simu yako ya kitochi haikuwa hewani, huyo muuaji alikuwa na mihemko yake maana alimkimbiza mwenye mke hivyo alikuwa ana jimwambafy, na wakati anampiga huyo mwanaume alikuwepo sasa kama huyo mwanaume alikuwa na akili si angemzuia!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio wapo Mashoga wanaoliwa na wanawake. Unasemaje ?Ndio umeongea nini![]()
Hivi unaelewa hata unachoongelea au unaongea tu ilimradi umeweka neno "wanawake"?Ndio wapo Mashoga wanaoliwa na wanawake. Unasemaje ?





Kwaiyo unasema mtu akisaliti auwawe...au ke au me?...HUWEZI KUsema roho mbaya Ni ya mwanamke kwasababu...hiyo elfu hamsini nayo ilimuuma sidhani Kama alikusudia kumuaMpaka kufikia hatua hiyo mwanaume kumchoma mwanamke na gunia za mkaa,sababu kubwa ni unyama huo huo wa mwanamke,usariti. Lakini fikiria yule anamuua sababu ya elfu 50. Unamuacha mwanamke mwenzio ukimfungia ndani afe kwa njaa,baada ya kumpiga sana. Wanawake ni zaidi ya unyama uliofanyika rwanda 1994. Wa mwanza kamuua mtoto wake wa kumzaa,masikini asie na hatia hata moja yule mtoto wa miaka 9. Unyama wa aina gani huo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hujaona mwanaume kamua mtoto wake kisa kajikojolea..au hayo hamyaoniNyie hadi watoto wenu.lol
Mwanamke na mwanaume hiyo ndio inayotakiwa, sasa wakikulana hapo shida iko wapi?

Leta mama hujakatazwaTena hata idadi kubwa ya wapumbavu duniani ni wanaume wakitaka ushahidi nitaleta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kwetu zinatokea but rarely... Na wakati mwingine hizi kesi za mume kumpiga mke ukitoa pombe zinasababishwa na mama kupiga na kuumiza mtoto... Nimelishuhudia hili.Sasa hujaona mwanaume kamua mtoto wake kisa kajikojolea..au hayo hamyaoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi panic lkn ulichoandika nj pumba. Ungesema kwanini wapigania haki wanawake wamemute sio kugeneralize wanawake wana roho mbaya.Usipanic, huo ndiyo ukweli! Hao akina wapigania haki za wanawake mbona wamemute?
Sent using Jamii Forums mobile app
Taasisi za wanaume ndo zipi hizo
Wale wanaume wanaowabaka watoto wao wadogo wana uke?Nyie hadi watoto wenu.lol
Teh kumbe hazipoTaasisi za wanaume ndo zipi hizo
Kweli kabisa RebecaThis is sad,....tusinyoosheane vidole hili wote wanaume na wanawake tuko responsible kulikemea...


Kweli kabisa Rebeca![]()