Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 20,559
- 44,337
Acha kuzisingizia roho za umauti wewe uliziona paleRoho za kiuaji zilimwingia. Inshort tuombe Mungu neema zake sisi wanawake
Ni yeye na roho yake mbaya na akili mbovu ya kikatili mamb kama hayo ata shetani anabaki mdomo wazi
Sent using Jamii Forums mobile app

