Ntolonyonyo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,231
- 2,358
Sema kwa suala la kutesa wadada wa kazi..wanawake mnaongoza aisee..siongelei kuua....kama vipigo na matusi na kunyanyaswa hawa dada wanapitia sana..sema ndo hivyo....Wanawake wengi wapo kimya??? Una uhakika au unabwabwaja tu ndugu. Muwe mnaongea kitu cha uhakika..mitandaoni wengi waliolizungumzia na kulikemea ni wanawake.
Hebu nionyeshe mwanaume aliyelizungumzia hili tukio kwa kukemea nimjue.
.
.
Acheni chuki za kijinga against wanawake. Binadamu yoyote yule anaweza kuwa na roho mbaya. Ina maana hakuna matukia ya kutisha yaliyotendwa na wanaume. Nyie mnajiona malaika sana..kwa lipi?
PUMBAVU ZENU WOTE WENYE MTAZAMO KAMA WAKO.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata huyu huyu dada asingefariki angeendelea tu
Sent using Jamii Forums mobile app



