Kwenu wanaume, ukiomba namba ya simu usipopewa elewa

Namba zenyewe hata mkitoa mnaishia kuomba omba hela shenz kabisa
 
😂😂😂😂😂😂 bila ya shaka utakuwa bomba sana wewe ndiyo sababu ME wanakuwa ving’ang’anizi wapate digits zako.
Habari wana MMU,

Nataka kusema na wanaume, mtu ukimuomba namba ya simu akikukatalia elewa tu kuwa umekosa jamani sio unalazimisha utadhani unamdai mtu khaa.

Namba umekosa unaanza kumfata mtu unalazimisha uende anakokwenda akisimama unasimama akikatisha upo na maswali kama polisi kwani lazima akubali tongozo lako?

Mtakuja pigwa bure shauri yenu.
 
Acha kunyima watu hiyo nyapu,toa numb watu waisasambue aalaf em nitumie pic yako ni idambue km unafaa na mm kukuomba numb au nikikuona nikupoteze
 
Kuna demu mmoja niliombaga namba hadi alinitukana,lakni sikukata tamaa nikaendelea kujaribu siku aliyonipa namba huwezi amini nilimtafuna siku ile ile,nikawa namuuliza why alikuwa ananinyima namba akasema "wanawake tukiwa kwenye penzi jipya huwa tunaweweseka"nikamuuliza kwahyo vp mmeachana au vp akasema hawezi show mbwa yule japo nampenda
I guess na ww upo kwenye penzi jipya ndomana unaweweseka
 
Muhimu usimtukane muomba namba hii dunia ni ya ajabu sana unaweza kwenda mbele kidogo vibaka wakakupora ukasaidiwa na huyo muomba namba.

Be humble tu.
 
Kuna demu mmoja niliombaga namba hadi alinitukana,lakni sikukata tamaa nikaendelea kujaribu siku aliyonipa namba huwezi amini nilimtafuna siku ile ile,nikawa namuuliza why alikuwa ananinyima namba akasema "wanawake tukiwa kwenye penzi jipya huwa tunaweweseka"nikamuuliza kwahyo vp mmeachana au vp akasema hawezi show mbwa yule japo nampenda
I guess na ww upo kwenye penzi jipya ndomana unaweweseka
Hapana mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom