Rafiki yangu mmoja kanijia jana akiwa mwingi wa mawazo na majonzi tele
Kisa nini..Ni mwaka wa tatu sasa ameolewa hana mtoto ,Mama mkwe kapiga simu saa tano usiku kwa mwanae wakiwa wamelala
anauliza mkeo yuko hapo ? jamaa kasema ndio ..basi akaambiwa weka loud spika ili huyo anayejiita mkeo apate vidonge vyake
Mama mkwe bila haya kaanza kuporomosha mvua ya maneno akilalamika kama hajaolewa kuja kumchuna mtoto wao wamemsomesha ili awatunze wao na sisi yeye mke mgumba ..
Mbaya zaidi anamwambia ..hajaolewa ili awe sanamu ndani ya nyumba ..la sivyo wangenunua sanamu wakaweka ndani wanachotaka amzalie watoto kama hawezi njia iko wazi aondoke ..!
Mke kulalamika kwa mmewe ..
Mme anamjibu hii ni message send ..
Wanaume kwa nn mnaruhusu ndoa iingliwe na ndugu mke anyanyaswe kiivyo ?
kwa nini msitoe suport ili mke awe na uwezo wa kujitetea?
shock!!!!
FL
Pretty mbaya zaidi wanapewa suport na hawa waune zetu ..kama mme angekuwa na msimamo mama asingediriki kupiga simu na kuporomosha maneno makali na mwanae akiwepo!
mie pia nimemuuliza swali kama lako yeye kasema alishapima dr akamwambia hana tatizo ila huyu mmewe ndo kila akimwambia akapime hatoi majibu sahihi ..na kudai tayari alishazaa mtoto mwingine nje kabla hajaoa
rafiki yangu mmoja kanijia jana akiwa mwingi wa mawazo na majonzi tele
kisa nini..ni mwaka wa tatu sasa ameolewa hana mtoto ,mama mkwe kapiga simu saa tano usiku kwa mwanae wakiwa wamelala
anauliza mkeo yuko hapo ? Jamaa kasema ndio ..basi akaambiwa weka loud spika ili huyo anayejiita mkeo apate vidonge vyake
mama mkwe bila haya kaanza kuporomosha mvua ya maneno akilalamika kama hajaolewa kuja kumchuna mtoto wao wamemsomesha ili awatunze wao na sisi yeye mke mgumba ..
mbaya zaidi anamwambia ..hajaolewa ili awe sanamu ndani ya nyumba ..la sivyo wangenunua sanamu wakaweka ndani wanachotaka amzalie watoto kama hawezi njia iko wazi aondoke ..!
mke kulalamika kwa mmewe ..
mme anamjibu hii ni message send ..
wanaume kwa nn mnaruhusu ndoa iingliwe na ndugu mke anyanyaswe kiivyo ?
kwa nini msitoe suport ili mke awe na uwezo wa kujitetea?
shock!!!!
fl
Mie pia nimemuuliza swali kama lako yeye kasema alishapima DR akamwambia hana tatizo ila huyu mmewe ndo kila akimwambia akapime hatoi majibu sahihi ..na kudai tayari alishazaa mtoto mwingine nje kabla hajaoa
Mwanaume kapima na yy?wanauhakika gani kama tatizo labda ni la mwanamme?sio mara zote tatizo la ugumba ni mwanamke,wanamme mwengine wanarudi usiku,pombe kibao kichwani,huyo mtoto atatoka wapi?maana kila akicheuwa wanatoka serengeti bariidi!zen unategemea upate mtoto?wapiiiiiiiiiiiii?huyo mwanamme poyoyo sana
hili nalo neno.huwenda mwanaume ndo kasuka hou mpango mzima haiwezekani umjibu mwenzio meseji sent- manyanyaso mengine? Fl1 huyo rafiki yako wameshakwenda kucheck hospital yeye na mumewe kama hawana tatizo lolote?
basi dawa yake ndogo, atoke nje ya ndoa akapate mimba aje ambambikie mtoto. Maana inaonkena hata huyo mtoto wa kabla ya ndoa alibambikiwa! Yeye si kaamua kumaga mboga, mwambie rafiki yako amwage ugali na jiko azime kabisa!!! 🙂
mara mama nitilie,mara mesenja!...lol!sijui lini utaniambia wewe ni mama salma...!haya bwana😀
HUU NI USHAURI MZURI SANA, ukitaka kujua sababu basi ni-PMBasi dawa yake ndogo, atoke nje ya ndoa akapate mimba aje ambambikie mtoto. Maana inaonekana hata huyo mtoto wa kabla ya ndoa alibambikiwa! Yeye si kaamua kumwaga mboga, mwambie rafiki yako amwage ugali na jiko azime kabisa!!! 🙂
hommie vipi?.....😀HUU NI USHAURI MZURI SANA, ukitaka kujua sababu basi ni-PM
FL1 mshauri huyo rafiki yako akapime peke yake kama kweni ni tasa au la. Ikiwa si tasa ambembeleze mumewe wakapime wote. ili wajue pia hali zao. unajua siku hizi wanaume wengi wana matatizo ya uzazi sana. Mpaka hapo ndio ushauri wangu kwao.
Nimekutana na kisa kama hiki last two weeks, lakini baada ya kuwashauri hivyo walipokwenda kupima imeonekana mwanaume ana issue-mbegu zake ziko na shida-no mikia(whatever that means).
As a result ndugu wa mwanaume wamefyata mikia wamekuwa wadogo kama piriton. na man ameanza kuchukua hatua kuona kama anaweza kuremedy hali yake hiyo.
Please advice her that.
Ikiwa majibu kwake yatathibitisha kuwa yeye ni tasa mwanzoni kabisa, them by God's grace tutamshauri kwa hekima tulizojaaliwa.
Mmmmh masaki?do u real advice that?
American lady ni kweli mme anamuunga mkono mama yake ndo maana nikawaomba wanaume watupe suport kina mama watupende ..wasiache mwanya ili tupate manyanyaso toka upande wa ndugu zaoHii kwa kweli imeniuma si utani.lkn bado nina swali pale mwanaume alipomjibu mkewe kuwa sms sent km nilielewa vzr kwa hiyo huyo kijana kamuunga mzazi wake mkono kwa uharo aliyo umwaga au?????labda sikuelewa.huyo mwanaume si hafifu bali ni mjinga na mnafiki km anampenda mkewe na wana mipango yao ya ndoa kwa nn amjibu mkewe hivyo????hopeless.!! na yy alishawahi kuwaeleza wazazi wake plan ya ndoa yake mpk huyo ***** aje ambuguzi binti wa watu??huyo mama kama ana mtoto wa kike malipo atayapata hapa duniani kuchuna kitu gani pesa ni mauwa huchanua na kusinyaa vilevile hata km mwanae ana pesa km bill gates asimdharau binti wa watu.
NB:We mama wa mwanaume kama kimekuuma sana na umeona huyo binti anafaidi sn kamzalie mwanao wewe ili ufaidi hivyo visenti vya kijinga.
Rafiki yangu mmoja kanijia jana akiwa mwingi wa mawazo na majonzi tele
Kisa nini..Ni mwaka wa tatu sasa ameolewa hana mtoto ,Mama mkwe kapiga simu saa tano usiku kwa mwanae wakiwa wamelala
anauliza mkeo yuko hapo ? jamaa kasema ndio ..basi akaambiwa weka loud spika ili huyo anayejiita mkeo apate vidonge vyake
Mama mkwe bila haya kaanza kuporomosha mvua ya maneno akilalamika kama hajaolewa kuja kumchuna mtoto wao wamemsomesha ili awatunze wao na sisi yeye mke mgumba ..
Mbaya zaidi anamwambia ..hajaolewa ili awe sanamu ndani ya nyumba ..la sivyo wangenunua sanamu wakaweka ndani wanachotaka amzalie watoto kama hawezi njia iko wazi aondoke ..!
Mke kulalamika kwa mmewe ..
Mme anamjibu hii ni message send ..
Wanaume kwa nn mnaruhusu ndoa iingliwe na ndugu mke anyanyaswe kiivyo ?
kwa nini msitoe suport ili mke awe na uwezo wa kujitetea?
shock!!!!
FL
Rafiki yangu mmoja kanijia jana akiwa mwingi wa mawazo na majonzi tele
Kisa nini..Ni mwaka wa tatu sasa ameolewa hana mtoto ,Mama mkwe kapiga simu saa tano usiku kwa mwanae wakiwa wamelala
anauliza mkeo yuko hapo ? jamaa kasema ndio ..basi akaambiwa weka loud spika ili huyo anayejiita mkeo apate vidonge vyake
Mama mkwe bila haya kaanza kuporomosha mvua ya maneno akilalamika kama hajaolewa kuja kumchuna mtoto wao wamemsomesha ili awatunze wao na sisi yeye mke mgumba ..
Mbaya zaidi anamwambia ..hajaolewa ili awe sanamu ndani ya nyumba ..la sivyo wangenunua sanamu wakaweka ndani wanachotaka amzalie watoto kama hawezi njia iko wazi aondoke ..!
Mke kulalamika kwa mmewe ..
Mme anamjibu hii ni message send ..
Wanaume kwa nn mnaruhusu ndoa iingliwe na ndugu mke anyanyaswe kiivyo ?
kwa nini msitoe suport ili mke awe na uwezo wa kujitetea?
shock!!!!
FL
First Lady,
Mwanaume ulitaka katika hali kama hiyo ya kupigiwa simu ghafla awe na msimamo gani???+
Peal, do you think it was fair for the mama mkwe kumbwatukia mtoto wa watu usiku wa manane?
Mwanaume mwenyewe kiburi hataki kwenda kupima eti kisa alishazaa mtoto kabla ya ndoa, aliyemwambia kwamba huyo mtoto wa kabla ya ndoa ni wake ni nani? Inawezana akawa wake, au kabambikiwa!
Na pia inawezakana wakati huo alikuwa mzima na matatizo ya kutoweza kumpa mimba mwanamke aliyapata baadaye! Kuna mambo mengi, ikiwemo lifestyle kama kunywa pombe kupita kiasi, msongo wa mawazo na kadhalika! Na ndio maana kusikiliza ushauri wa kitalaamu ni jambo la busara zaidi katika kesi hii kuliko kumwambia mama yake apige simu saa tano usiku kumbwatukia mkewe!
hahahaaaa, poa!!hommie vipi?.....😀