Kwanini?
UmenenaHabari wana MMU, leo naomba kuwakumbusha kitu wadada wenzangu ambao bado hatujaolewa n hatuna wachumba yaan bdo tunatafutana, haka ka tabia ka kujiona keki yaan Mungu kakujaalia kalio basii wataka utikise wanaume wote dunia nzima, sio kila mkaka anaangalia ---- lako wanaanza kwa kuangalia uelewa wako wa mambo afu kalio linafuata, akili ya kuwaza maisha n maendeleo huna kila cku unawaza me mzur ntahudumiwa n wanaume, wenzio wanaume cku hzi wanaangalia nan wa kuoa nan wa kuchezea sasa wewe jirahisishe kwa kila bwana sabbau umejaliwa umbo n sura, kama akili zako mbili utachezewa n wanaume wenye akil kama zako n watakua type yako n uzur wako unaoringia hutopata mume had unazeeka walah, zaidi utakua unatumika kama choo cha jiji
Sijaona wa kuiba mali yako, dozi unayonipa kila siku kwani hata nina hamu na mtu barabarani!!My king kama wataka kwenda nenda ila mali yangu nilindie,mie ndio mmiliki halali
Mkuu kuna mwingine nimemuona ameisoma, amekuwaje mbogo...Km demu flani hivi umemgusa km angeisoma hii angetia akili!
Tena Malkia wangu usimuachie mpaka akueleze vizuri na yakuingie.ukimaanisha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
NAULIZA ukiwa unamaanisha nini!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mmmh mbona wazee with walioa mama zetu hata kusoma hawajui na wakaraise family fresh! Kama unaona hana upeo msaidie just muexpose kwenye ulimwengu unaoutaka
Hahahaaaaaaa...mbona hata ruhusa nilimpa mwenyewe na hata huyo aliyekuwa naye nilimuomba aniwakilishe.tatizo la kutuokuonekana bungeni hili haya shauriro :lever:
Hakuna hata nukta! Loh! Nilivyoliza kusoma ikanibidi nipumue kwanza, fuuuuuu!
Kwa hiki ulichokiandika, sidhani wewe ni mdada.
Kwanini?
Mkuu unaweza kuthibitisha kauli yako ya mwisho?Threads za hivi huwa zinaletwa humu JF na wanaume walioumizwa na mademu. Na wanawake kwenye hoja kama hii huwa wote wanakuwa upande mmoja na hutaona hata mdada mmoja anaunga mkono hoja ya mleta mada.
Threads za hivi huwa zinaletwa humu JF na wanaume walioumizwa na mademu. Na wanawake kwenye hoja kama hii huwa wote wanakuwa upande mmoja na hutaona hata mdada mmoja anaunga mkono hoja ya mleta mada.
Habari za majukumu ya ujenzi wa taifa mkuu? Unajua mkuu nilitaka anifahamishe hasa hapo kwenye rangi mkolezo kama kweli hakuona michango ya Ladyfurahia, Heaven on Earth nk.hahhaa grafani11 bana
Habari za majukumu ya ujenzi wa taifa mkuu? Unajua mkuu nilitaka anifahamishe hasa hapo kwenye rangi mkolezo kama kweli hakumuona michango ya Ladyfurahia, Heaven on Earth nk.
Habari za majukumu ya ujenzi wa taifa mkuu? Unajua mkuu nilitaka anifahamishe hasa hapo kwenye rangi mkolezo kama kweli hakuona michango ya Ladyfurahia, Heaven on Earth nk.
Mkuu unaweza kuthibitisha kauli yako ya mwisho?
Threads za hivi huwa zinaletwa humu JF na wanaume walioumizwa na mademu. Na wanawake kwenye hoja kama hii huwa wote wanakuwa upande mmoja na hutaona hata mdada mmoja anaunga mkono hoja ya mleta mada.
Asiye na kosa na awe wa kwanza kutupa jiwe mama huyu...
Source: Yesu Kristo
Fuatilia utabaini wote wana sifa zinazofanana.heaven on earth nimem-exclude kwa sababu anaonekana ana nidhamu iliyopitiliza haswa ukiangalia comments zake, huyo ladyfurahia sijaona coment zake kiasi cha kutosha kukisia alivyo.