Kila mwanamke ana aina ya wanaume anaovutiwa nao kwa haraka, na mara nyingi hu-deal na aina hiyohiyo ya wanaume hatoki nje ya hapo.ni kweli. Ila sometimes men are couser of this.
It hard to know a good man. Damn
Habari wana MMU, leo naomba kuwakumbusha kitu wadada wenzangu ambao bado hatujaolewa n hatuna wachumba yaan bdo tunatafutana, haka ka tabia ka kujiona keki yaan Mungu kakujaalia kalio basii wataka utikise wanaume wote dunia nzima, sio kila mkaka anaangalia ---- lako wanaanza kwa kuangalia uelewa wako wa mambo afu kalio linafuata, akili ya kuwaza maisha n maendeleo huna kila cku unawaza me mzur ntahudumiwa n wanaume, wenzio wanaume cku hzi wanaangalia nan wa kuoa nan wa kuchezea sasa wewe jirahisishe kwa kila bwana sabbau umejaliwa umbo n sura, kama akili zako mbili utachezewa n wanaume wenye akil kama zako n watakua type yako n uzur wako unaoringia hutopata mume had unazeeka walah, zaidi utakua unatumika kama choo cha jiji
Ukishaolewa, kids follow and a lifetime of happiness. Marriage is beautiful. Find a man settle down. Money aint everything.
You are just saying. But God intended for kids to be born within marriage.KWANI BILA NDOA KIDS HAWAPATKANI? HAPPINES!!!!!!!!!! PLEASEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!! To some yeah! But Majority NEHI! NEHI! NEHI! With all the BACKSTABBING, CHEATING,IRRESPONSIBILITY, LAZY BILLYS, Naaaaaaaaaaaaah! I WNT TAKE MY CHANCES!!!!!!!! I am not a very lacky person in history n considering the sins i have commited against THY WIFE, i guess ILL STILL FOLD MY CARDS for as long as NECESSARY!
Mmmmmmmmmmmh! IT WAS GOING WELL UNTIL ULIPO DISCLOSE THE END YA KUFANYA YOTE HAYO NI ILI UOLEWE!!!!!!!!! Pleaseeeeeeeeeeeeeeee!
Pardo me in advance beacause MY HUMOR HAS NO SENSE AT ALL lakini WHY SHOULD YOU DO ANYTHING ILI UOLEWE? Shouldnt it come NATURAL?
Una some valid points hapo, sana tu but for me it would have made more sense kama ungesema WANAWAKE WAFANYE HIVO OUT OF PRINCIPLES TU!!!!!!!!!!!! Sababu wanaume pamoja na kuwa ATM in the end ni binadamu wenzetu, they have feelings and they do need compassion from time to me.
THY SHOULD NOT COMMIT AGAINST THEE WHAT THY DOES NOT WISH COMMITTED AGAINST THY! Logica explanation.
From time to time try to ask yourself UKISHAOLEWA THEN WHAT?
Habari wana MMU, leo naomba kuwakumbusha kitu wadada wenzangu ambao bado hatujaolewa n hatuna wachumba yaan bdo tunatafutana, haka ka tabia ka kujiona keki yaan Mungu kakujaalia kalio basii wataka utikise wanaume wote dunia nzima, sio kila mkaka anaangalia ---- lako wanaanza kwa kuangalia uelewa wako wa mambo afu kalio linafuata, akili ya kuwaza maisha n maendeleo huna kila cku unawaza me mzur ntahudumiwa n wanaume, wenzio wanaume cku hzi wanaangalia nan wa kuoa nan wa kuchezea sasa wewe jirahisishe kwa kila bwana sabbau umejaliwa umbo n sura, kama akili zako mbili utachezewa n wanaume wenye akil kama zako n watakua type yako n uzur wako unaoringia hutopata mume had unazeeka walah, zaidi utakua unatumika kama choo cha jiji
Habari wana MMU, leo naomba kuwakumbusha kitu wadada wenzangu ambao bado hatujaolewa n hatuna wachumba yaan bdo tunatafutana, haka ka tabia ka kujiona keki yaan Mungu kakujaalia kalio basii wataka utikise wanaume wote dunia nzima, sio kila mkaka anaangalia ---- lako wanaanza kwa kuangalia uelewa wako wa mambo afu kalio linafuata, akili ya kuwaza maisha n maendeleo huna kila cku unawaza me mzur ntahudumiwa n wanaume, wenzio wanaume cku hzi wanaangalia nan wa kuoa nan wa kuchezea sasa wewe jirahisishe kwa kila bwana sabbau umejaliwa umbo n sura, kama akili zako mbili utachezewa n wanaume wenye akil kama zako n watakua type yako n uzur wako unaoringia hutopata mume had unazeeka walah, zaidi utakua unatumika kama choo cha jiji
Mmmmmmmmmmmh! IT WAS GOING WELL UNTIL ULIPO DISCLOSE THE END YA KUFANYA YOTE HAYO NI ILI UOLEWE!!!!!!!!! Pleaseeeeeeeeeeeeeeee!
Pardo me in advance beacause MY HUMOR HAS NO SENSE AT ALL lakini WHY SHOULD YOU DO ANYTHING ILI UOLEWE? Shouldnt it come NATURAL?
Una some valid points hapo, sana tu but for me it would have made more sense kama ungesema WANAWAKE WAFANYE HIVO OUT OF PRINCIPLES TU!!!!!!!!!!!! Sababu wanaume pamoja na kuwa ATM in the end ni binadamu wenzetu, they have feelings and they do need compassion from time to me.
THY SHOULD NOT COMMIT AGAINST THEE WHAT THY DOES NOT WISH COMMITTED AGAINST THY! Logica explanation.
From time to time try to ask yourself UKISHAOLEWA THEN WHAT?
Kwa muda mrefu nimekuwa nikizikosa busara kama hizi humu JF. Hivi ulikuwa wapi siku zote hizi, hawa wenzetu wasingeharibika kiasi hiki.Simaanishi nafanya au nashaur mfanye ili kuolewa lakun kumbuka hata uwe n mali kiasi gani, uwe n kioa unachokihitaj at da end of da day utatakiwa kua n mumeo,, sasa unazan unavojirahisi ivo kila mwanaume anakupitia utapata mtu wa kuendana n ww wa kukuweka ndani?? Me nimeshauri wadada tujiheshmu kwa kutolea mfano wa kua n wakaka wa kila aina ila sijasema hujieshmu ili upate ndoa
Ndiyo maana huwa nasema anayekumiliki amepata mke bora.una akili sana wewe
ningekuwa karibu yako ningekupa tano bora
waambie hao wajionao fahari miili yao kwani
wataambulia kukanyagwa kwa mitofaa na hatimaye kuharibika
Kwa muda mrefu nimekuwa nikizikosa busara kama hizi humu JF. Hivi ulikuwa wapi siku zote hizi, hawa wenzetu wasingeharibika kiasi hiki.
We ukigonga 40, akili yko itakaa sawa.
Mkuu kuna ukweli fulani, ila nadhani swali zuri la kujiuliza ni eneo gani unapatia mwenzi wako. Kwa mfano,Kila mwanamke ana aina ya wanaume anaovutiwa nao kwa haraka, na mara nyingi hu-deal na aina hiyohiyo ya wanaume hatoki nje ya hapo.
Kuna wanawake wanaovutiwa na mabitozi, wengine wanavutiwa na matapeli, wengine na wanaume wanaojiheshimu, n.k.
Kuna mdada mtaani kwetu watu walikuwa wanasema ni nuksi, ukitembea nae utafungwa jela kwa sababu bwana zake wote anaowapata wanaishia kufungwa jela. Katika upelelezi wangu nikakuta kwamba yule dada huwa anavutiwa sana na wanaume wezi, huwaga hakubali wanaume wengine isipokuwa wezi. Cha ajabu ni kwamba huyo mdada anakuwa hajui kama hao wanaume ni wezi lakini automatically huwa anakubali wezi na kuwakimbiza wengine. Mimi nadhani kuna nguvu fulani iliyofichika ndani ya mwanamke ambayo ndio inamsukuma kupenda watu wa aina fulani.
Hapa nadhani inategemea moyo wako umeumbiwa wanaume wa aina gani, kama umeumbiwa mabitozi ma-player, matapeli, utaishia kubanjuliwa na kukimbiwa, kwa sababu utaachana na tapeli huyu na utahamia kwa tapeli mwingine kwa sababu unapenda matapeli.
Naongea kwa experience nimeshuhudia 100% ya wanawake walioangukia kwa wanaume wanaojiheshimu wote wameolewa na wana ndoa zenye furaha.
ni kweli. Ila sometimes men are couser of this.
It hard to know a good man. Damn
Ni kweli kabisa huo uzuri wa sura na umbo bila hekima na busara ya kudumisha nyumba unaweza kuona kama nyani ameingia nyumbani.Waambie mama la mama maana wengine wamebakia kuringa kwa ajiliya maumbile yenye mvuto ila kama utamfanya kuwa mke hana cha kuchangia kuongeza kipato cha familia zaidi ya sura na umbo lake zuri, maana wengine shule hawajajaliwa, hana mradi wowote zidi ya kuwa tegemezi.
Kwa hiki ulichokiandika, sidhani wewe ni mdada.
Lara 1 ,ninamuonavyo ni mtu anayejielewa ,she is more than thaTlara 1 nimeguswa na maneno yako ya paragraph ya tatu!,really uko vzuri Lara 1,unaishi jimbo gani tuaangalie namna ya kukupa uongozi?[/QUOTE]
Ati nini...wa siasa ama????? unataka mfuko wa maendeleo wa jimbo wote uishie make ups,gucci handbags na dolce & gabbana clothing line...
Malkia wangu nimezikosa busara zako kwa muda mrefu sana, kila siku nasikia makelele ya walewale tu.hahahaaaaa My king ndio maana unashinda JLW