kwenu wa mahisabu....msioshindwa!

Maalim Jumar

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
1,259
117
Habari zenu JF.
Nami nimeona niwawekee hili humu ili niwaone wenzangu wasiokubali yawapite!!
Ni vipi utaweza kugawia namba 80 kwenye makundi manne...ambapo kundi la kwanza namba hiyo (i)uigawie kwa 3.
Kundi la pili namba utayoipata (ii)uijumlishe kwa 3:
Kundi la tatu namba utayoipata (iii) uizidishe kwa 3.
Kundi la nne ndio la mwisho...namba utayoipata (iv)uitoe kwa 3.
Malengo:
Ili kila jawabu utalolipata liwe sawa sawa na kundi jingine.(majibu yafanane).
Nawakilisha!.
 
dah kwa mazingira haya magumu ya maisha,plus mafisadi, plus magamba..yamenichosha sana, hadi uwezo wangu wa kung'amua hii kitu umepotea kabisa,,..!! ngoja niwasubirie wenzangu
 
Habari zenu JF.
Nami nimeona niwawekee hili humu ili niwaone wenzangu wasiokubali yawapite!!
Ni vipi utaweza kugawia namba 80 kwenye makundi manne...ambapo kundi la kwanza namba hiyo (i)uigawe kwa 3.
Kundi la pili namba utayoipata (ii)uitoe kwa 3:
Kundi la tatu namba utayoipata (iii) uizidishe kwa 3.
Kundi la nne ndio la mwisho...namba utayoipata uigawie kwa 3.
Malengo:
Ili kila jawabu utalolipata liwe sawa sawa na kundi jingine.(majibu yafanane).
Nawakilisha!.

Mkuu naona tatizo ni lugha hapo kwenye red pana mushkeli kidogo.
 
Let the number be x
therefore x/3+(x/3-3)+(x/3+(x/3-3)3)+(x/3+(x/3-3))=80
jaribu kufanya hii hsb utapata jibu very simple algebra wanajf acheni uvivu!
 
mI NATAKA KUJUA X UMEITOA WAPI??? KAMA ZINAPATIKANA KWA KUTAMKA TU Let the number be .... nayo ikawa: BASI LET THE NUMBER BE MARCOSSY. NA SASA IGAWE KWA HESABU ZAKO UNIPE JIBU.

Tehe tehe theheheheheheheeeeeeeeee...
 
Let the number be x
therefore x/3+(x/3-3)+(x/3+(x/3-3)3)+(x/3+(x/3-3))=80
jaribu kufanya hii hsb utapata jibu very simple algebra wanajf acheni uvivu!
Hongera!
X ndio namba ngapi?
Yaan mbavu zangu na mashavu yangu mieee!.
 
Mkuu...jibu lake ni

(1) 45 / 3 = 15
(2) 12 + 3 = 15
(3) 18 - 3 = 15
(4) 5 * 3 = 15

45 + 12 + 18 + 5 = 80

there you go!...siku njema
 
hesabuu, ni nzuri sana wee x2
mwalimu nifundishe, nipate kuelewa.
Eee mwalimu, nifundishe.....
 
Back
Top Bottom