Siye wa Kakonko, Itigi, Marangu, Idodi, Bulongwa, Busega, Namtumbo, Namanyere, Igurusi, na kwingineko tunakofanana tunawaona ninyi wa DSM washamba sana wa vitu hivi. Kwetu tunawafuga na tunawala wale halisi ambao wanaweza kukimbiza panzi umbali wa hata kilomita 5, tofauti na wa kwenu wasioweza hata kujitetea hata wakisafirishwa kwenye pick up wapo tuli. Tena huo mfupa ulioachwa mnofu mwingi ni kwa sababu ninyi wa O'bay mnakula wale wa Kichina ambao wamekuzwa kwa madawa, mnaogopa kula hizo dawa!! tehetehetehe!!