Kwenu CCM, siri yao sasa imefichuka

Kwenu CCM, siri yao sasa imefichuka

Majibu nikuwa
Tanzania imeingiliwa na Kizazi cha hovyo
Kisicho jua kutumia akili kufikiri
Kila kitu kufuata mkumbo!!
Chadema imejaa vijana wasio jua Kuhoji wala kupinga
Wana amini Mbowe ni Mungu
Nchi ina mtihani mkubwa sana
Uvccm na bavicha nani mwenye hoja mahakamani?
 
Amani ya bwana .

Maswali haya yalikuwa yanaumiza sana kichwa watu makini na wanaojali maslahi ya .

  1. Kwanini chadema wasimamishe mgombea urais waliyemtukana wao wenyewe kuwa amefilisi nchi kwa ufisadi?
  2. Kwanini kila anachotamka Mbowe, hata liwe jambo la kipuuzi kabisa lakini wafuasi wake wanafuata?
  3. Kwanini Mbowe alipouza chamá kwa mafisadi, bavicha walimshangilia sana?
  4. Kwanini matumizi ya ruzuku ya chadema hayajulikani lakini bavicha hamna anayehoji?
  5. Kwanini chadema hakina ofisi kwa miaka 25 lakini hamna bavicha anayehoji?
  6. Kwanini bavicha wako tayari kuchagua fisadi, muuza unga, jiwe kuliko binadamu aliye timamu kwa maslahi ya taifa?
  7. Kwanini bavicha wanatetea wachawi, majambazi, mafisadi na wauza madawa ya kulevya ilimradi tu wameamliwa na Mbowe kushangilia?
  8. Kwanini bavicha wanamtukana mtu kwa ukwepaji kodi, ufisadi lkn mtu huyo huyo akihamia kwao wanamshangilia tena?
  9. Kwanini chadema ni kimbilio la wachafu na waovu wote?
  10. Kwanini bavicha wako tayari kudeki barabara ili fisadi apite?

Jibu ni kwamba mwenyekiti wao alishawajulia kuwa ukiwalisha ngada, proper reasoning inaondoka, kinachobaki ni kushangilia tu!

Mwenyekiti aliamua kufanya biashara ya ngada ili kuwageuza mazezeta wafuasi wake. Limbwata la Dj kwa wafuasi wake ni ngada.
Siri ni kuwalewesha ngada tu, then unabadili gia angani jinsi unavyojisikia huku ukishagiliwa bila kuhojiwa.

Kwa maana nyingine kuondoa madawa ya kulevya ni sawa na kuiua chadema, kwa sababu baada ya madawa kuisha, hangover za bavicha zitaisha, hivyo wataanza kuhoji maamuzi ya mwenyekiti na hivyo kuuwa chama.
Siri ya kwa nini chadema wanatetea madawa ya kulevya ndio hiyo.

Usituchanganyie habari tupo busy na daudi basheta
 
Yaani nawacheka sana kwa jinsi walivyoacha mambo yote kumjadili Makonda
Kijana hana hata wasiwasi ndio kwanza anapiga kazi
Chama kimejaa uzushi na kick
Kiongoze Tanzania!!
Labda waliopo wafe woote waje wapya
 
Majibu nikuwa
Tanzania imeingiliwa na Kizazi cha hovyo
Kisicho jua kutumia akili kufikiri
Kila kitu kufuata mkumbo!!
Chadema imejaa vijana wasio jua Kuhoji wala kupinga
Wana amini Mbowe ni Mungu
Nchi ina mtihani mkubwa sana
Mi naona kuanzia baba wa hiko kizazi wako hivyo hivyo ndio maana kizazi chao nacho kipo hivyo
 
Mwambieni daudi tunataka vyeti tu

Kabisa tunataka vyeti, tena aje na yule kaka yake aliyekuwa akimlipa ada kumshawishi ajiunge CHADEMA, Freeman Mbowe. wote wawili waje na vyeti vyao vya form four!
 
Baada ya kuwamaliza akina Mondi, Kiba, Jux, Idris Sultan nk, sasa ni zamu ya wanasiasa kupanga foleni
Aibu sana sasa mwanaume mzima unakua unajua routine ya mwanamke hata akigawa hiyo papuchi wee mtoto wa kiume inakuhusu nini vipi na wewe unamuonea wivu anavyogegedwa? Unataka na wewe wakumalize
 
Amani ya bwana .

Maswali haya yalikuwa yanaumiza sana kichwa watu makini na wanaojali maslahi ya .

  1. Kwanini chadema wasimamishe mgombea urais waliyemtukana wao wenyewe kuwa amefilisi nchi kwa ufisadi?
  2. Kwanini kila anachotamka Mbowe, hata liwe jambo la kipuuzi kabisa lakini wafuasi wake wanafuata?
  3. Kwanini Mbowe alipouza chamá kwa mafisadi, bavicha walimshangilia sana?
  4. Kwanini matumizi ya ruzuku ya chadema hayajulikani lakini bavicha hamna anayehoji?
  5. Kwanini chadema hakina ofisi kwa miaka 25 lakini hamna bavicha anayehoji?
  6. Kwanini bavicha wako tayari kuchagua fisadi, muuza unga, jiwe kuliko binadamu aliye timamu kwa maslahi ya taifa?
  7. Kwanini bavicha wanatetea wachawi, majambazi, mafisadi na wauza madawa ya kulevya ilimradi tu wameamliwa na Mbowe kushangilia?
  8. Kwanini bavicha wanamtukana mtu kwa ukwepaji kodi, ufisadi lkn mtu huyo huyo akihamia kwao wanamshangilia tena?
  9. Kwanini chadema ni kimbilio la wachafu na waovu wote?
  10. Kwanini bavicha wako tayari kudeki barabara ili fisadi apite?

Jibu ni kwamba mwenyekiti wao alishawajulia kuwa ukiwalisha ngada, proper reasoning inaondoka, kinachobaki ni kushangilia tu!

Mwenyekiti aliamua kufanya biashara ya ngada ili kuwageuza mazezeta wafuasi wake. Limbwata la Dj kwa wafuasi wake ni ngada.
Siri ni kuwalewesha ngada tu, then unabadili gia angani jinsi unavyojisikia huku ukishagiliwa bila kuhojiwa.

Kwa maana nyingine kuondoa madawa ya kulevya ni sawa na kuiua chadema, kwa sababu baada ya madawa kuisha, hangover za bavicha zitaisha, hivyo wataanza kuhoji maamuzi ya mwenyekiti na hivyo kuuwa chama.
Siri ya kwa nini chadema wanatetea madawa ya kulevya ndio hiyo.

1.unga umepamda bei
2.sukari bei juu
3.mchele bei haikamatiki
4.gesi imepanda kwa %13
5.petrol inapaa

alafu jinga linaleta upuuzi wakiccm. wakati nduguze huko bush wanakula viwavi
 
Kwa sisi walimu ktk saikolojia watu wa namna hii hususani huyu mtoa mada huwa tunawaita TABULA RASA.
 
Naombeni kibarua cha kuandika habari kama hizi ila niwe nalipwa hata ka pesa ka soda. Hari ngumu mtaani jamani! Naombeni kazi, sichagua km Lumumba au kwingine
 
Back
Top Bottom