Kwenda Mecca & Madina kutalii

Kwenda Mecca & Madina kutalii

Mkuu nassirQr mbona unajinajisi kiasi hicho???
Kwani ilikuwa lazima upanick?
Binafsi nimekusamehe.
 
Kama wewe ni wa dini tafauti futa kabisa mawazo ya kwenda huko..
Huko haruhusiwi mtu wa dini nyengine kukanyaga isipokuwa wenye dini yao tu!
 
Afrika watu wa ajabu mno tumedanganywa kupitia mafundisho ya dini umeoa wake wanne, watoto kibao (ambao huna uwezo wa kuwapeleka shule nzuri) bado unaambiwa beba mawe njoo huku kuna shetwani. Hatari sana.
 
Mimi binafsi nahitaji kwenda miji mitakatifu ya Mecca na Madina kwa ajili ya utalii. Mwenye kujua utaratibu tafadhali anifahamishe. Nimeandaa 7000 USD kwa ajili ya viza, nauli, malazi na chakula. Natanguliza Shukrani.
ushauri tyu mkuu

kama ni muiislam subiri muda wa kuhiji ukahiji kuriko kwenda tyu for no reason
 
Si katika sifa za muungwana muislam ... nimefurahi umeomba radhi! chunga ulimi wako! ni kipande cha nyama chenye kuponza wengi sana ! Mwenye ez Mungu akujaze Hikma na akusameh na ajaalie ulimi wako uongee mema na mazuri yanayomfurahisha Mwenye ez Mungu na waja wake !
Maneno kuntu,achunge na vidole anavyotumia kutype,imani haitetewi kwa matusi bali lugha ya upole na majibu yanayolenga kumwelimisha aliekukebehi,islam is all about being humble and peaceful
 
Wale ISIS,Al Shaabab,Al Qaeda ni dini gani?
 
Wacha kashfa na maneno ya kikuma wewe malaya kama huna ushauri mzuri kwa wenzio bora kaa kimya mshenzi wewe hata viongozi wako wanajua kama hizo ni sehemu takatifu unaongea nini pumbavu wewee kaa kimyaaaa mbwa wewe
Waislamu wengi ndio wapo hivi huyu anajua akitukana anaenda peponi kuonana na mabikira na akijilipua ndio peponi zaidi Yani kiufupi akiri yao imefikia hapa akiri za kimadrasa
 
Yerusalem mji wa mashoga duniani

Hahahaha!.... Saudia ndipo penyewe makao makuu pa waanzilishi wa ushoga na usagaji,makao makuu ya mabasha,tena wanaume wanafumuana wazi,hakuna mchanganyiko wa jinsia,jipange uje upya!
Vilevile Tanganyia pamoja na Unguja Pwani kotekote,Kenya,Marekani,Ulaya,Asia....DUNIA NZIMA....tafuta jengine.
Halafu mashoga wa kawaida sana siku hizi mbona sio tusi?

kalb hayawan!
 
Mitakatifu? Umechemka mkuu maeneo makame hayawezi kuwa matakatifu... Kuna vimbunga Sana huko na jangwa eneo kubwa joto ni balaa.... Kuna kafara za watu wengi wengi muhimu ukisikia kundi la watu wamekufa ndipo uende utakuwa salama hao kila mwaka kafala za damu ya watu lazima.. Kuna nchi zimezuia raia wao wasiende na lazima uzikwe huko huko... Cha ziada huko ni chemchem za Abraham ya Zamzam... Hiyo nchi Ina masharti magumu sana na watu weusi huesabika. Ni watumwa so kuwa makini wakikuhusudu unanyang'anywa passport unafanyishwa Kazi za ndani utalia mwenyewe na ukileta ugomvi unanyongwa hadharani.
Duu hii ni chuki iliyo vuka mipaka.
 
CHUKI YAKO HAIKUFIKISHI POPOTE WE CHAPOMBE
 
Utakuwa muumini wa mchezo wa nabii Tito
 
Back
Top Bottom