SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,802
Mimi binafsi nahitaji kwenda miji mitakatifu ya Mecca na Madina kwa ajili ya utalii. Mwenye kujua utaratibu tafadhali anifahamishe. Nimeandaa 7000 USD kwa ajili ya viza, nauli, malazi na chakula. Natanguliza Shukrani.