ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Nawapa hay wanajf kwa siku ingine tena ya leo, imenibidi niseme yaliyojaa moyoni mwangu kwani kuna kitu kinakera sana acha na leo nikitapike hapa katika kolamu hii nilikuwa sitaki kukisema ila acha nikiseme kwani tunamaliza mwaka nakuwa na kitu kinachokukera usivuke nacho kwa mwaka mwinngine.
Ni hii tabia ya wanadamu hasa WANAUME wanaanzisha mahusiano kisha wanasepa, hii tabia yao imenikera sana na ndo maana nimeona niandike hapa, si wanaume wote bali ni baadhi wanatabia za kitoto na zisizoeleweka kabisa, yaani mtu anaanzisha uhusiano kama akiona amedumu na wewe mwezi mmoja au zaidi basi kile alichotafuta kwako kama amekipata utaona analeta chokochoko za hapa na pale na kisha kusepa si ameshatimiza lile kusudio alolitaka kwani abaki na wewe kwa madhumuni gani tena, wengine wanasema maneno ya kashfa kwa marafiki azao kwamba angalie dude lile pale nimelichuna kisha nimeliacha solemba. Jamani makaka zetu tabia hiyo sio mbaya kwani mnawaumiza wadada wetu bure. Ili jambo imebidi niliandike hapa kwani limenikera sana ingawaje halijanitokea mimi ila kuna mtu limemtokea na ni rafiki wa moyoni. Sipendi tabia yenu wanaume hasa wale wanaonzia na herufi hizi: J, G, I, M, A, na K sio busara kumtenda mwenzio kiasi hicho na Mungu hapendi tabia za ajabu namna hiyo. Nawaomba makaka , mababu, mababa zetu muache tabia hiyo ni mbaya sana.

ni kweli tupu ndugu ila wanaonzia na hizo herufi ndo wamezidi jamani Suprise

Sipendi tabia yenu wanaume hasa wale wanaonzia na herufi hizi: J, G, I, M, A, na K....
Kwanza nikwambie tu kwamba si kila mwanaume mwenye jina linaloanza na herufi ulizozitaja hapo yupo hivyo usemavyo. Utapoteza bahati zako bure kwa kuing'ang'ania dhana hiyo na kuiweka akilini mwako.
Pili, naomba niwaambie dada zangu kwamba muache kujirahisisha sana kwa wanaume. We umejuana na mwanaume ndani ya mwezi mmoja umeshampa kila kitu?...kuweni serious na wasumbufu kidogo, usikubali kirahisi rahisi tu, muwaangalie na type za wanaume wenyewe mnao-date nao
Tatu, jifunze kuisoma phsycology ya mtu..si kila mwanaume akufuatae anakupenda. Wanaume wengi tunaongozwa na matamanio. So unatakiwa kusort out nani anaukupenda na yupi anakutamani, sitaki kulizungumzia hili coz ni darasa tofauti kabisa.
Pole sana na kwa niaba ya rafikio wa moyoni, lakini mbona kichwa cha habari kinaashiria kama wewe ndo muathirika wa hili?
Sipendi tabia yenu wanaume hasa wale wanaonzia na herufi hizi:J, G, I, M, A, na K sio busara kumtenda mwenzio kiasi hicho na Mungu hapendi tabia za ajabu namna hiyo. Nawaomba makaka , mababu, mababa zetu muache tabia hiyo ni mbaya sana.
Sipendi tabia yenu wanaume hasa wale wanaonzia na herufi hizi: J, G, I, M, A, na K....
Kwanza nikwambie tu kwamba si kila mwanaume mwenye jina linaloanza na herufi ulizozitaja hapo yupo hivyo usemavyo. Utapoteza bahati zako bure kwa kuing'ang'ania dhana hiyo na kuiweka akilini mwako.
Pili, naomba niwaambie dada zangu kwamba muache kujirahisisha sana kwa wanaume. We umejuana na mwanaume ndani ya mwezi mmoja umeshampa kila kitu?...kuweni serious na wasumbufu kidogo, usikubali kirahisi rahisi tu, muwaangalie na type za wanaume wenyewe mnao-date nao
Tatu, jifunze kuisoma phsycology ya mtu..si kila mwanaume akufuatae anakupenda. Wanaume wengi tunaongozwa na matamanio. So unatakiwa kusort out nani anaukupenda na yupi anakutamani, sitaki kulizungumzia hili coz ni darasa tofauti kabisa.
Pole sana na kwa niaba ya rafikio wa moyoni, lakini mbona kichwa cha habari kinaashiria kama wewe ndo muathirika wa hili?
Yaani umeachwa na wanaume 6 tu unakuja kuchonga JF! Mbona wachache hao...kaongeze ongeze wafike ka 20 hivi then come and make your point!
Kwa mfano mimi kutongoza ni hobby, na nachukia sana pale nikitongoza kiutani tu, tayari napewa... japo nikipewa nakula tu shingo upande...