Kweli Wezi Noma

Kweli Wezi Noma

Ndallo

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
7,619
Reaction score
4,303
Jamaa pamoja na kuzibiti usalama wa Baiskeli yake lakini wezi wameondoka na Bike wakaacha matairi!
Bike.jpg
 
Huyo mwenye hiyo baiskeli akirudi atacheka sana.
 
Hahah Kama bike ingekuwa yangu ningecheka tu baada ya tukio maana huu wizi ni wa kikomedy zaid
 
ahahahahahahaa.....hawa wezi watakuwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) maana haya mapinduzi si ya kawaida
 
Ukisikia wizi uliokwenda shule ndio huu!! Jamaa anaikuta minyororo yake kama alivyoiacha lakin kaibiwa.
 
Hawa majamaa ndo wanastahili kusomea enginering kwani sayansi na technologia yao inazidi hata ile ya Mchina
 
Itakuwa Uholanzi hiyo. Maana huko unapopaki baiskeli na kugeuza mgongo tu, wenzako wanakata kufuli na kuondoka nayo. Usiombe uwe na baiskeli ya kisasa.
 
Hata kama ingekua mimi nimeibiwa ivyo ningecheka mpk nikae chini.
 
Back
Top Bottom