kweli vyandarua vya Bush vimesaidia wengi!!

kweli vyandarua vya Bush vimesaidia wengi!!

Vyandarua hizi zinapunguza nguvu za kiume hao jamaa wamefanya uchunguzi wakagundua wakatupa wako sahihi kabisa. Maana nimpango wa marekani kutumaliza waafrika

tukitumia concept hii, unamaanisha kuwa hawawatakii mema kuku wao.....
 
lipi bora kujificha kwenye chandarua ilhali wafa njaa
au kutumia kama hapo juu ili kupata chakula!
 
Back
Top Bottom