Kweli ualimu wito ningekua nishaozea jela

Kweli ualimu wito ningekua nishaozea jela

MO11

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Posts
19,698
Reaction score
42,013
1620821_1382746678703853_2891985844969738714_n.jpg
 
hahahahahahah sinja mbavu dogo ana akili nyingi mapka basi hahahahahahahahahaha mimi ningekua ticha nikuwa nacheka mwenyewe mkama tahira
 
hahahahahahah sinja mbavu dogo ana akili nyingi mapka basi hahahahahahahahahaha mimi ningekua ticha nikuwa nacheka mwenyewe mkama tahira

tena usikute kanakaa mbele ya darasa haka katoto jela ingenihusu kabisa
 
see me ya kazi gani? huyu hafai hata kuendelea na masomo, cha muhimu ni kumpa ushauri wa kufanya kaz nyengine ukiacha kusoma
 
ualimu wataka moyo kuutoa ujinga wa mtoto ambaye hata 'a' hajuio mpaka anaweza kusoma na kuunganisha herufi kuwa maneno....yataka moyo.
 
Topic zipo za hisabati zipo nyingi,Kama hiyo inampiga chenga,zingine anazimudu...
 
Back
Top Bottom