tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 498
Hata mi naona, hapa si pa kuzubaa hati!!! Kazi tuuuu!!!! Si mke si mumeHapo Kazi tu
kuambukizana ugonjwa tu
swissme
naogopa.Wa huko kijijini hawanaga magonjwa. Magonjwa mnayo nyie wa mjini, mnaogopa kushare glasi lakini mnanyonya naniliu za kushare.
naogopa.
swissme
Vingi vimeigwa toka Africaidea ya kutengeneza mirija ya plastiki ilianzia hapo
Mila na desturi. ..alama ya umoja na mshikamano