Kweli Pinda mtoto wa mkulima

Nimeipenda hii picha, inaonyesha wazi kuwa Mh Pinda anamaanisha anachokisema. Katika nchi ya Kifisadi kama hii, PM akitaka wazazi wake wakae kwenye nyumba nzuri ya kisasa anaagiza tu, na watu wanatekeleza, mtapata wapi hela mtajua wenyewe !
 
Mtumiabusara nashukuru kwa kunielewa.....nilitaka nieleweke hivyo , kwamba aliyosema pinda siku ile ameteuliwa nashukuru kuyaona kwa macho unless mtu aniambie hao si wazazi wa Pinda na huyo kuku si wao. kwamba JK atakula au hatakula hilo namwachia salma na wapishi wa ikulu
Mix with yours
 
Kwani mafisadi hayafugi kuku? Hivi vigezo au sifa vya ukulima wa jembe la mkono ni vipi? Hivi ukiwa mtoto wa mkulima ndio unafaa kuongoza nchi, na yule wa mfanyabiashara na mfanyakazi hawafai? Ubaguzi huo na kudumaza demokrasia!
 
Huyu ni kuku kuku au kuku wa sumbawangaaaaaa mpandaaaa?

Wana JF, kabila letu na lile la kina Pinda mila zinakaribiana - Kwetu zawadi kubwa ni kuchinjiwa kuku na utamla hadi asishe, ukiachia utafungashiwa ukale mbele ya safari. sasa Jk kwa kuwa ni mkuu wa nchi na nafikiri protocal hairuhusu basi ikabidi apewe Jogoo mzima. Ndugu zangu, Zawadi ya Jogoo ina heshima kubwa sana hasa ukipewa na wazee na ni ishara ya Kutakiwa baraka.

Nilitaka tu kufafanua hii zawadi ya Kuku...turudi kwenye mada....
 
Pinda na yeye aache kupindisha mambo. Amekuwa serikalini akilipwa mshahara kwa zaidi ya miaka thelathini.Mshahara wake kwa kujinyima tu anasa angeweza kuwajengea wazazi wake nyumba nzuri tu na ambayo ni sawa na hadhi ya mshahara wake. Kuna waalimu tena wa shule za msingi wana nyumba bora na wanalima na kufuga kwa njia ya kisasa. Sitegemei kuona waziri asiye badilisha hali ya wazazi wake pamoja na jamaa zake kwa kuwahamasisha kubadili mtindo wa maisha eti tu kwa kuogopa kuonekana jajiri. Kama umeumbwa kutokukubali mabadiliko hata ukiwa rais, bado hutobadilika. Si tegemei mimi niteuliwe kuwa waziri mkuu, nikiwa na wazazi wangu wote nishindwe kuwanunulia nguo nzuri tena za kuvutia eti kwa kuogopa mimi kuonekana tajiri.
 
inategemea wazee wengine wabishi ukitaka kuwajengea nyumba nzuri na kubadilisha maisha yao hawataki kabisa, unawanunulia nguo nzuri wanagoma kuzivaa - unawaacha kama walivyo. you never know.
 
Uko right mkuu I salute you....siku moja tulipita nyumbani kwa wazazi wake kigogo fulani akatuambia 'mnaiona ile nyumba ya udongo pale' tukasema naam. akasema yaani baba yangu amefia katika nyumba ile hata baada ya mimi kumjengea hii mpya ya kisasa aligoma kuhamia.. mmh mmh tukabaki hoi
Kuna wazazi watata sana hapa tz
mix with yours
 
Kwa taarifa yenu ya wazazi wa pinda ni kali kuliko ya wazazi wa jk kama mnabisha kazitembeleeni zote.ni nilishaziona.
 
Pinda....changamka..hao wazee wanatakiwa wakae nyumba yenye hadhi kidogo...mimi kabwela wazee wangu nimewajengea kagorofa kamoja kule bush.....walikuwa wabishi lakini wakati ukawazidi ikabidi wahame.....kwa syle hii hata mungu hapendi,atakulaani
 
Pinda na yeye aache kupindisha mambo. Amekuwa serikalini akilipwa mshahara kwa zaidi ya miaka thelathini.Mshahara wake kwa kujinyima tu anasa angeweza kuwajengea wazazi wake nyumba nzuri tu na ambayo ni sawa na hadhi ya mshahara wake. Kuna waalimu tena wa shule za msingi wana nyumba bora na wanalima na kufuga kwa njia ya kisasa. Sitegemei kuona waziri asiye badilisha hali ya wazazi wake pamoja na jamaa zake kwa kuwahamasisha kubadili mtindo wa maisha eti tu kwa kuogopa kuonekana jajiri. Kama umeumbwa kutokukubali mabadiliko hata ukiwa rais, bado hutobadilika. Si tegemei mimi niteuliwe kuwa waziri mkuu, nikiwa na wazazi wangu wote nishindwe kuwanunulia nguo nzuri tena za kuvutia eti kwa kuogopa mimi kuonekana tajiri.

Pinda ni product ya Nyerere, hivyo amekuwa mfuasi mkubwa wa siasa za Nyerere. Pinda amefanya kazi ikulu miaka mingi toka enzi za Nyerere. Amekuwa katika vitengo vyeti sana pale ikulu. Ni mtu mwaminifu na wala si mla rushwa. Ameishi kwa mshahara wake tu hivyo wazazi wake kuwa katika nyumba kama hiyo si jambo la ajabu bali huo ni ukweli wenyewe. Bila shaka utakumbuka Nyerere naye wakati anastafu alikuwa hana mali alizojiwekea na pia alikuwa na nyumba ya kawaida kabisa pale kijijini kwake Butiama mpaka Serikali ilipoamua kuchukua uamuzi wa kumjengea nyumba ya kisasa.
 
Pinda....changamka..hao wazee wanatakiwa wakae nyumba yenye hadhi kidogo...mimi kabwela wazee wangu nimewajengea kagorofa kamoja kule bush.....walikuwa wabishi lakini wakati ukawazidi ikabidi wahame.....kwa syle hii hata mungu hapendi,atakulaani

Duh mkuu unawajengea wazee ghorofa tena si unawapa kazi ya kupanda ngazi .....au wanakaa floo ya chini?
mix with yours
 
Pinda ni product ya Nyerere, hivyo amekuwa mfuasi mkubwa wa siasa za Nyerere. Pinda amefanya kazi ikulu miaka mingi toka enzi za Nyerere. Amekuwa katika vitengo vyeti sana pale ikulu. Ni mtu mwaminifu na wala si mla rushwa. Ameishi kwa mshahara wake tu hivyo wazazi wake kuwa katika nyumba kama hiyo si jambo la ajabu bali huo ni ukweli wenyewe. Bila shaka utakumbuka Nyerere naye wakati anastafu alikuwa hana mali alizojiwekea na pia alikuwa na nyumba ya kawaida kabisa pale kijijini kwake Butiama mpaka Serikali ilipoamua kuchukua uamuzi wa kumjengea nyumba ya kisasa.

Nimekukubali mkuu wewe umenena...comrade pinda cheo kwake si sehemu ya kuchuma ni utumishi basi....mengine ni ziada tu
mix with yours
 
Ringo nakubishia:

Wazazi wa JK wanakaa pale Bagamoyo mjini, ile nyumba ilikuwa ya kawaida lakini 2006 ikakarabatiwa sasa hivi ni bomba hadi viyoyozi ndani. Muungwana huwa anatia timu maramoja moja pale kwao. Kule Mboga (Chalinze) hawapo tena wapo ndugu na jamaa tu.

Wakati wa kumcheza ngoma mtoto wa kike wa JK, pale Bagamoyo watu walikula na kusaza, FFU walikuwa kuzidi 200, bendi za musiki, taarabu.

Tatizo huyu JK waandishi wa habari wengi (wapo kwenye pay-roll yake) huwezi kupata picha za kifisadi labda upige mwenyewe. Amemnunua Issa Michuzi na wengine huwaanbii kitu.
 
Kwapani acha fix..kuku wa kienyeji hufugwa hata na Mafisadi wakubwa huku town

sio fix ndugu mafisadi wafuga kuku wa kienyeji hawafanani hivyo!!!
umenifirahisha na neno fix nilikuwa sijalisikia muda mrefu
mix with yours
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom