Aiseeh umeniangusha sana kama umeshindwa kujitosa kwa huyo jamaa naomba na Hilo jina lako ulibadilishe badala ya "lady in action" bora uitwe "lady in nothing" hapo tutaenda sambamba jina litasadifu matukio [emoji26][emoji26]Hata mie nimeona . ..acha nipige chini tu...moyo inabidi uelewe tu
Haaaaa haaaaa ...[emoji23] [emoji23] [emoji23] uuuuwi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakuna mwanaume rijali kamili ambae haumizwi kichwa na mwanamke. Kama sio wewe basi kuna mwingine anaemuumiza kichwa tena vyote viwili cha juu na chini.
Vitu vingine vinataka moyoHaaaaa haaaaa ...
Kwakweli...Vitu vingine vinataka moyo
Umeongea point, kuna jamaa yuko humu kazini anaheshimika sana, ni mpole hana mazoea kabisa na wanawake. Lakini ni choko kabisaaa, nilishangaa aliponilazimisha nimtigo nilichoka nguvu mwili wote ukawa na ngaziAnaweza maliza miezi 6?
Kama hadi unajua hii routine mpaka sasa hivi ulitakiwa ujue kama anakupenda au hakupendi.
Na muda wote huo hajaonyesha kua ana mtu?
Kama hajakuonyesha na mnafanya kazi airport huyo jamaa namjua ni choko
Huyo jamaa ni choko serious ebu fanya research kidogo uone.Hayo ni maongezi anakuambia kua anamda flan hajaingia watsap...ni mtu msiri sana na makini na mambo yake so ni ngum kumjua anakupenda au lah! Japo nikimaliza cku cjamtafuta hua analalamika mbona umenitenga Sijui nn yaan Mimi hata simwelew asee
Jaman asiwe tu hivyo mi nitaumwa kabisaHuyo jamaa ni choko serious ebu fanya research kidogo uone.
Ucjal bado nasoma upepo ..hapa nitamwambia kwa vitendo tu...nimemtext naumwa mgongo kaniambia anakuja home kunisalimia.....hapa naandaa diclopar gel akija nimwambie anichue mgongo hope utakua mwanzo mzuri...ha ha haAiseeh umeniangusha sana kama umeshindwa kujitosa kwa huyo jamaa naomba na Hilo jina lako ulibadilishe badala ya "lady in action" bora uitwe "lady in nothing" hapo tutaenda sambamba jina litasadifu matukio [emoji26][emoji26]
Mh.... labdaNakuonea huruma kweliii hao wapole/wakimya ndo wabaya hatari......
uje kuleta marejesho hapa baadae!!!
Mwenzenu nimepatikana Sijui natokaje hapa.
Baada ya kua single takriban miaka 2 baada ya kutendwa uko nikaamua nijikalie zangu single tu
Nahisi shetan ananinyemelea kabisa....kuna mkaka tulikua tunafanya kaz ofci moja baadae Mimi nikahama ila tunaonana Mara kwa Mara...jmn nimetokea kumpenda sana yaan Sijui nini kimenikuta
Muda mwingi nakuta namfikiria tu....ninamazoea nae kama rafiki so hua tunachart mambo ya maisha tu na kushauriana ....ikipita hata siku hajanitext moyo unaniuma sana yaan mpaka nakosa raha
Jamaa ni mtu mwenye msimamo mpaka unapenda....hapendi mazoea na wadada ovyo....ni mkimya sana kwanza kuongea nae tu ujipange bt Mimi nimetokea tu tukawa marafiki
Binafsi sitegemei kumwambia nampenda ila ndio nateseka sana nataman hata nisiwe na urafiki nae maana namuonea wivu mpaka anajua....Sijui nifanyeje wapendwa
ujasiri uliotumia kutuelezea hapa ndivyo hivyo unatakiwa uutumie kumwandikia ata sms umwambie hali uliyonayo!Mwenzenu nimepatikana Sijui natokaje hapa.
Baada ya kua single takriban miaka 2 baada ya kutendwa uko nikaamua nijikalie zangu single tu
Nahisi shetan ananinyemelea kabisa....kuna mkaka tulikua tunafanya kaz ofci moja baadae Mimi nikahama ila tunaonana Mara kwa Mara...jmn nimetokea kumpenda sana yaan Sijui nini kimenikuta
Muda mwingi nakuta namfikiria tu....ninamazoea nae kama rafiki so hua tunachart mambo ya maisha tu na kushauriana ....ikipita hata siku hajanitext moyo unaniuma sana yaan mpaka nakosa raha
Jamaa ni mtu mwenye msimamo mpaka unapenda....hapendi mazoea na wadada ovyo....ni mkimya sana kwanza kuongea nae tu ujipange bt Mimi nimetokea tu tukawa marafiki
Binafsi sitegemei kumwambia nampenda ila ndio nateseka sana nataman hata nisiwe na urafiki nae maana namuonea wivu mpaka anajua....Sijui nifanyeje wapendwa
pia jitahidi kumfanyia vitu kam kumtumia zawadi...kumshtukiza siku yake ya kuzaliwa kumfanyia vitu tofauti ukiweza hata kumtoa dinner na kumpatia zawadi lkni mkiwa sehem ya wazi tu sio ilojificha pia endelea kuonesha unamjali na upo karibu naye zaidi but usithubutu kumtamkia kam ni mwanaume anayejitambua na kujali lazima ataelewa tu fanya vitu kwa vitendo tuSikia bi dada, huyo jamaa hamna haja wala ya kumwambie, fanya kitu moja sisi wanaume tunapenda, onyesha kumjali, onyesha kumpenda kutoka moyoni. Automatic mtajakuwa wapenzi bila hata mmoja kumwambia mwenzie.