\Duniani... ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. sina la kukushauri mkubwa nimechoka hadi meno.
usichoke dadaa wazo lako laweza okoa roho ya m2
\Duniani... ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. sina la kukushauri mkubwa nimechoka hadi meno.
Mimi hiyo avatar tu.Jamani kuna wakaka wengine hawa misimamo.
Fanya yafuatayo;
Utaona mabadiliko makubwa sana...!
- Mpeleke mahali ambapo una uhakika kuwa utakuwa salama kwa utakachomfanyia, kwa kuwa hatakuwa na uwezo wa kutoa ushahidi...!
- Mng'oe meno yoooote....!
- Mpigishe vuvuzela....!
- Mtafutie wa kumtangia kotekote....!
- Sepa na umuache kavukavu...!