Kweli nimechukiwa na wengi

Kweli nimechukiwa na wengi

Jamani pole kwa yote usiwaze sana maana watu wengine wapo kwa kuwaudhi wengine na kuwa kebehi tafuta Furaha kama jina lako linavyo sadifu.kila la kheri Ladyf
 
Last edited by a moderator:
Pole sana cousin,yatapita na huwezi chukiwa na wote!tupo tunaokupenda!usife moyo
 
sio kwamba unachukiwa bali ni matendo yako huwa unakurupuka unacomenti vitu vinavyokera wengine
 
Back
Top Bottom