Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,435
Pole sana
Nalog off
Nalog off
Zamani alikuwa anatongozwa, siku hizi anabakwa.
Babu umenifanya nicheke jamani,lols jf burdaaaan
Be positive minded my dear.Inawezekana hiyo chuki ni wewe unai create mawazoni mwako.Biblia katika kitabu cha methali(nimesahau ngapi) Inasema aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo.Na hata Whitney Houston aliimba kuwa the Greatest love of allis to love yourself first.Anza wewe kujikubali na kujipenda then automaticaly wengine watafuata.Habarini
Leo bandugu acha niseme wazi kabisa hapa kwani
Inanisikitisha kila ninakopita utasikia wewe mkarifonia
ni nani aliyekuloga mpaka uwe hivyo.
Chakushangaza kabisa wengine wanakutwangia kesi
zisizo za kwao kazi yao moja ni umbeya tu umewakalia
UTASIKIA WAKISEMA OVYO MJENGONI:
mara hooo! wewe mhaya una nini mkononi mwako?
utakuta hata mtu humjui lakini naye yumo kushadadia
kisichomhusu utadhani alikuwa anakijua zaidi ya kuperuzi.
Udaku humu mjengoni umekuwa ni mwingi sana
wala hakuna ambaye anaweza kufanya kitu kikawa kitu,
Nabaki nashangaa nisijue la kufanya wala kutenda pia
kwangu inakuwa ni kama naota ndoto za mchana vile
Na kumbe ni usiku wa saa sita.
Inanikumbusha zama za mawe, watu walikuwa
wanapendana, wanaheshimiana na kufanya kitu pamoja
hawana jambo la kimsingi kwa faida ya wengine
sio siri wamebaki kunena hata kama ni bazazi group.
Nimekereka sana kwani wengine wamebakia kunichukia
chuki zisizo namsingi wowote isitoshe walikuwa ni watawa
wangu mashogagi wangu wa mwandani kumbe ndo adui zangu
Kweli nimeamini MFADHILI MBUZI KULIKO MWANADAMU.
SIKUTEGEMEA KUCHUKIWA KIASI HIKI MPAKA NAJIONA :suspicious:
Wasalaamu
Ladyf
be positive minded my dear.inawezekana hiyo chuki ni wewe unai create mawazoni mwako.biblia katika kitabu cha methali(nimesahau ngapi) inasema aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo.na hata whitney houston aliimba kuwa the greatest love of allis to love yourself first.anza wewe kujikubali na kujipenda then automaticaly wengine watafuata.
Mungu akubariki sana na amani ya mungu ipitayo akili zote iwe nawe.
Leo umenikumbuka? ndo maana mvua imenyesha.
Kumbe ee,ata uku inanyesha kuna baridije!
valentinaee si ukuje huku Njiro mamii, mie nimeshindwa kuja kwako atii
pole sana bestito japo sielewi tatizo ila kua mpole tu pakusawazisha fanyahivo. Hayo mengine yatapita tu kama upepo usijali,mambo hayawezi kua sawa sikuzote 365 lazima yayumbe kidogo ili uzidi kua imara.
Be positive minded my dear.Inawezekana hiyo chuki ni wewe unai create mawazoni mwako.Biblia katika kitabu cha methali(nimesahau ngapi) Inasema aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo.Na hata Whitney Houston aliimba kuwa the Greatest love of allis to love yourself first.Anza wewe kujikubali na kujipenda then automaticaly wengine watafuata.
Mungu akubariki sana na Amani ya Mungu ipitayo akili zote iwe nawe.
ladyfurahia...........si rahisi kufurahisha kila mtu katika hili jamvi wala katika dunia hii! wapo watakaokupenda, ukianza na wewe mwenyewe, na wapo watakokuchukia etc. Just be yourself! Kumbuka hii ni jf and you deal with IDs, so jaribu kuwa mwangalifu!
Pole sana cousin, kama wanakuchukia mie nakupenda...... Wapotezee kama John Cena
Pole sana my wii,usijali tupo pamoja.
Leo umenikumbuka? ndo maana mvua imenyesha.