Kweli nimeamini mwanamke anahitaji ndoa

Sasa wakiolewa wote ma MILF watatokea wapi??, embu msiwashtue haka kamfumo ka maisha kaendelee..

wakuolewa waolewe na wakuja honga Ben10 waendelee kuwepo
 
mwanamke asipoolewa jua anagundu
Labda muanze kutuoa wake wawili wawili. Kumbukeni nyie mko wengi sasa kila mtu akioa mmoja lazima wenye gundu wapatikane kwa lazima
 
Hahahahahha

Unamaanisha uwe na mzigo kama huu?
 
Labda muanze kutuoa wake wawili wawili. Kumbukeni nyie mko wengi sasa kila mtu akioa mmoja lazima wenye gundu wapatikane kwa lazima

Ndugu yetu kashaonesha njia...

Tatizo nyie hamchelewi kulia wivu
 
Hapana mambo yanabadilika aseee ,sikulinga ,,ila unapoletewa udini katika mambo yamsingi bila shaka lazima ukubaliane nahali.

Sema duuuhh atakayemuoa ,atafaidikaga sana.
Haukua serious tu. Wanaoletaga udini dawa yao inakuaga mimba tu wanabadiki mawazo. Asije mtu nivunjia mapenzi yangu kisa dini sitamuelewa aisee.
 
Haukua serious tu. Wanaoletaga udini dawa yao inakuaga mimba tu wanabadiki mawazo. Asije mtu nivunjia mapenzi yangu kisa dini sitamuelewa aisee.
Yes I did that ,ila acha tuuuu... Hawa watu waudini daaahhhh hawafai hata kidogo...nawachukia sana.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…