Kweli nimeamini mwanamke anahitaji ndoa

Hahahaha manjonjo noma hayo. Ndoa tamu bhana... wenyewe wameshakubali

Kudadekiiiiii km andiko linavyosema vile sheikh !!! Usipokula diet unaweza kufia mapajani kwa mke wa nne[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Eeeeeh.. kuna wanaume tunawapenda wanawake hatuwazi hela zao wala nini. Kama hata hana unamwambia baby tutatafuta cha msingi we are happy mengine yatakuja tu baby.
Nikweli kabisa jamaaaan doooooooo umenikumbusha miaka kadhaaa ivi ila Noway out [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji120]
 
Eeeeeh.. kuna wanaume tunawapenda wanawake hatuwazi hela zao wala nini. Kama hata hana unamwambia baby tutatafuta cha msingi we are happy mengine yatakuja tu baby.
Kudos!!!!!! as it may apply
 
Ukiwa unaendelea kumsubiri unaweza kuwa papa. Usipova samaki wadogo utapataje wakubwa?
Nikweli babu yangu aliwah Nambia ...Ukishakua Mvuvi hakikisha Kila samaki iloko nyavuni kwako ,unaitumia km kawaida haijalishi ni mdogo au mkubwa[emoji23] [emoji23] ..wacha nianze kupiga tizi...ila hata watizi kiukweli asiwe na mifupa mingi dooohhhh
 
Ukipiga na tizi kidogo, lazima ndoa iheshimike

Dadeki kwa msuli huo mkuuu haaaaaaa kiuno cha mkeo kinaweza kukushinda ,,alafu ndo upate m'mama wawatu kajaa mafuta mafuta ,mwili huoooo..

Aiseeeee angalia usitafute sababu "" Nipigiwa simu ya msibaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] "
Kumbe unakimbia zali
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…