Kweli nimeamini mwanamke anahitaji ndoa

Bado nawahesabu wamefika wanne wanahitaji(kuolewa) ndoa kutoka kwangu! utafiti ukikamilika nitaleta mrejesho
 
Humu ndani wengi wanataman kuolewa basi ila Mawazo ya Humu yameshawavuruga
 
Wanawake wote wanapenda sana kuolewa. Ukimkuta mwanamke anasema yeye hana shida ya kuolewa huyo ni mwongo tu; siyo kama hana shida ya Mume, ila hajapata tu Mume wa kumuoa bado.

Hata maandiko yamesema hivi; "na tamaa yako itakuwa kwa Mumeo". Maana yake ni kwamba kila Mwanamke licha ya kutawaliwa katika ndoa lakini bado watatamani sana kuolewa. Ndiyo maana ISAYA aliandika hivi; "kuna siku Wanawake saba watamfuata Mwanaume mmoja na kumwambia, tutakula chakula chetu wenyewe, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako, utuondolee aibu yetu".

Maana ya maneno hayo ni kwamba siku zinakuja Wanawake watakuwa wengi sana tena wenye uwezo wa kujitegemea katika kila kitu, lakini Wanaume wa kuwaoa hawatakuwepo, ndipo sasa itafikia Mwanaume mmoja atafuatwa na Wanawake saba na watambembeleza awaoe wote ili tu awaondolee aibu ya kukaa bila mume.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Ukiboko haufunzwi. Ni mwanamke mwenyewe akiamua awe ziwa bahari au mto kwako lazima uwe kiboko nakwambia.
Ewaaaaaaaa mambo ndo hayooooo sasa mambo ndo hayooooooooooo.....tatizo sasa wakunifanya niwe kiboko[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Nikweli kabisa mkuuu .
 
Hakika mkuuu wa mama wanapenda ndoa sana embu cheki kadada Ka uko nyuma !!!

Unambiwa ndoaaa ndoa nibalaaa
Huyo sasa ndo anaitwa mpenzi mtazamaji... Hawa jamaa wa TV wanatukosea heshima kutuita "wapenzi watazamaji" wakati sisi tuko gado na ndoa zetu... tunakula bata...

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…