ngozi nyeusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Sidhani kama kuna ngozi nyeusi yoyote duniani atakaekubali kutoka kama alivyoingia.

    Hata masikini wa kijijini kwake waliokuwa wanalalamika kurubuniwa huduma tena watakuwa wanamsimanga utafikiri wanamcheka kwa nini hakuiwaibia vya kutosha. MENTALLITY ⚡⚡
  2. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Ukiondoa mihemko ya kidini sisi ngozi nyeusi tunamengi ya kujifunza kwa waarabu tena tuanze na waarabu wa hapahapa Africa

    Habar Ukiacha itikadi za kidini waarabu wametuzidi mbali sana sisi watu weusi hasa kweny maeneo haya 1.Elimu 2. Maendeleo 3.Uzalendo 4.Uthubutu 5.Teknolojia 6.Sayansi 7.Miundombinu 8.Afya na Tiba 9.Michezo 10.Kujitambua 11. Kipato 12.Kilimo 13.Usimamizi wa rasilimali 14.Sio wanafiki na waoga...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Mpaka lini waarabu wataendelea kutunyanyasa Ngozi nyeusi?

    KIla mwaka makombe wanachukuwa wao tu. Hivi kwanini wasiende ungana na wenzao wa akina Saudi na Qatar wakapambana na akina Al Nasir na Al Hilal Huko? Huu niuonevu kabisa
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania As of april 2, 2025, hawa ndio watu wenye ngozi nyeusi wanaoongoza kwa utajiri duniani.

    1. Aliko Dangote Utajiri: $23.9 billion | Chanzo: Cement, sugar | Citizenship: Nigeria 2. David Steward Utajiri: $11.4 billion | Chanzo: IT provider | Citizenship: U.S. 3. Robert F. Smith Utajiri: $10.8 billion | Chanzo: Private equity | Citizenship: U.S. 4: Alexander Karp Utajiri: $8.4...
  5. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli maisha ya Ulaya na Marekani ni magumu au ni mwendelezo wa ngozi nyeusi kukatishana tamaa?

    Wakuu mengi yanazungumzwa kuhusu uzuri na changamoto za maisha ya Ulaya na Marekani. Wengi wetu tunaamini huko ndo watu wanaishi na sisi wengine huku ni wasindikizaji tu ila kuna wengine wanadai eti maisha ya huku bongo ndo mazuri kuliko huko ng'ambo. Wakuu ukweli uko wapi maana mwenzenu...
  6. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ngozi nyeusi ni laana?

    Prof. Minzi na wengine! Sijui kama Waafrika kuna siku tuta endelea na kufanikiwa kama wenzetu wazungu, wahindi, wachina, waarabu, nk. We seem to be at the lowest thinking, intellectual and moral level. Kwa nini nasema hivyo? Nimewekeza hela nyingi sana kununua mashamba Mkoa wa Rukwa wilaya...
Back
Top Bottom