Kweli mtaliki hatongozwi

Kweli mtaliki hatongozwi

mmmmmh! Ww shemeji/mke ya....................!

Wewe shemeji wantia hasira ujue.. mara ngapi nikwambie mimi sio nke ya ntu aaaaargh... kwanza mie sio wife material... sa hiyo ndoa ntafungaje!!!!
 
hahahaaaa! Haya shemeji nmekupata....... Umesema vzr acha tujipange
 
Walimu bana!

Walimu wamefanyaje ndugu??!!!do not underestimate peoole that much.....huyo ana matatizo yake tu yanamsumbua and luck of ethics juu ya taaluma yaje ndivyo vinavyomtafuna...haihusiani na yeye kuwa mwalimu bhana..ndio waliokufuta makamasi hao
 
mkuu vp ww ni mwalim?? Watu hawajui tu. Hakuna wanawake walio tulia kama walimu
 
Walimu wamefanyaje ndugu??!!!do not underestimate peoole that much.....huyo ana matatizo yake tu yanamsumbua and luck of ethics juu ya taaluma yaje ndivyo vinavyomtafuna...haihusiani na yeye kuwa mwalimu bhana..ndio waliokufuta makamasi hao

Duh nitakuwa nimeeleweka vibaya lakini sikuwa na maana hiyo unayodhani mkuu. Samahani kama nimekuchosha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom