Kweli mtaliki hatongozwi

Kweli mtaliki hatongozwi

Mgirik

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
13,267
Reaction score
13,413
Kama kawaida najiandaa kutoka zangu ofisini nikaamua kupitia dukani kuchukua wayn yangu si unajua tena mvua?

Ile natoka tu nikakutana na classmate wangu yeye kwa sasa ni mwalimu ndio amekuja kulipot.

Basi bila hiyana tukasalimiana na nikaona nimkaribishe home.

Dada wa watu kwa upole na unyenyekevu kakubali ikabidi tuzame ndani ya kaGX 100 kangu mpaka geto.

Tukaanza kukumbushia mambo ya kischool si mnajua tena na kimvua hiki likasakatwa kabumbu hilo mpaka asubuhi ya leo.

Na mtoto hana chochote ndio kwanza anaanza maisha.

Ikabidi nimkabidhi mamlaka ya kuwa awe mama mwenye nyumba.

Mtoto haamin anacheka tu. Kwasasa naomba mvua iendelee kunyesha huku nakula raha.
 
Hahahaha iyo ni kweli mtalaka hatongozagi ata cku moja chamsingi angalia tu jama ni wife material eka ndani maana mapenz xaiv nibora kuishi na shetani unayemjua kuliko ibilisi usiyemfahamu.
 
Hahahaha iyo ni kweli mtalaka hatongozagi ata cku moja chamsingi angalia tu jama ni wife material eka ndani maana mapenz xaiv nibora kuishi na shetani unayemjua kuliko ibilisi usiyemfahamu.

haswaaaa! Hapo ni sawa na ile unalala maskin unaamka tajiri. Naenda kazn nilikuwa sna mke lakin kurudi tayar nin wife kweli huu mwaka ni wangu
 
duuhh, kweli mdada kaukata kiulaini, kapata nyumba, gari na mume wa fasta wakati akili yake ilikuwa inaumia kuanza maisha na ukata huu.
Hongera kwa mdada, na kwako niku-wish all da best.
 
Basi huyo ni mama mwenye geto sio mama mwenye nyumba....
 
kama kawaida najiandaa kutoka zang ofisin nikaamua kupitia dukan kuchukua wayn yangu si unajua tena mvua? Ile natoka tu nikakutana na classmate wangu yeye kwa sasa ni mwalim ndio amekuja kulipot. Basi bila hiyana tukasalimiana na nikaona nimkaribishe home. Dada wa watu kwa upole na unyenyekevu kakubali ikabidi tuzame ndani ya kagx 100 kangu mpaka geto. Tukaanza kukumbushia mambo ya kischool si mnajua tena na kimvua hiki likasakatwa kabumbu hilo mpaka asubuhi ya leo. Na mtoto hana chochote ndio kwanza anaanza maisha. Ikabidi nimkabidhi mamlaka ya kuwa awe mama mwenye nyumba. Mtoto haamin anacheka tu. Kwasasa naomba mvua iendelee kunyesha huku nakula raha.

kila sku.mada hii hii ina boa
 
Basi huyo ni mama mwenye geto sio mama mwenye nyumba....

najua unataman ungekuwa ww ndio mama mwenye nyumba lakin umeshndwa.......... Jaman naona ticha wangu anahisi barid anasema niwe karibu naye.
 
Hahahaha hii mvua inatukumbusha ndoto nyingi sana
 
Kwahyo ndo umekuja kunsema huku?Basi sawa !!!!
 
Kwahyo ndo umekuja kunsema huku?Basi sawa !!!!

hahaaa! Acha kunizngua ww .... Ww nakufaham tangu nijiunge jf yeye hata haijui jf ni nn hata fb yenyew anaiskia tu..... Kwakweli ni wife material
 
hahaaa! Acha kunizngua ww .... Ww nakufaham tangu nijiunge jf yeye hata haijui jf ni nn hata fb yenyew anaiskia tu..... Kwakweli ni wife material

Wife material?!!! Umejiuliza toka aje dar ameshakutana na ex bf zake wangapi? Kama wewe umemgegeda kirahisi hivyo kwa kisingizio cha kukumbushiana hao ex zake wengine nao akikutana nao itakuwa the same story kama ulivyokutana naye

Jiongezee mkuu,usipende mteremko.Wife material hagegedwi kirahisi hivyo na shida zake hazibadilishi maamuzi yake
 
vp wewe hujapata wa kukuhifadhi geto huko ulikoenda kuripot? wengine wana bahati sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom